kwa nini sasa?Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.
Chanzo: ITV habari
Sijawahi kusikia au kuona mtu anarudi Chadema!Mkuu naona umerudi CHADEMA kimya kimya
Kwa sababu Bashiru na Polepole wako bungeni!kwa nini sasa?
Tena tunataka Ndugai awapokee na kuwakaribisha Bungeni maana hawa wenzake kama alivyoutangazia umma juzi!!,Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.
Chanzo: ITV habari
Asiyekujua anaweza kuhisi huna matatizo ya akiliKama wanajielewa wafanye maandamano kwenda ofisi yao kuu pale ufipa kushinikiza uongozi wa juu wa chama kuchukua hatua la tuwahesabu kuwa wana chuki na wivu kwa wanawake wenzao.
Isitoshe kumekuwa na matumizi yasiyo halali ya ruzuku, lakini hawakuchukua hatua kama hiyo ya kuandamana kudai maelezo.
Hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Wewe mkuu umahamia chadema ama ni nini hiki? Nakushauri ubaki huko huko kwa Wanyonge /MatagaSasa ni utawala mwingine!
Njaa mbaya. Kuishi kitaa bila kazi ni kugumu inahitaji mtu wa pilikapilikaKwani walikwisha tambua matokeo ya 2020? Hawa jamaa viazi sana.
Ila Ni uwanja wa wastaarabu uliojaa wahuni wa ccm, maana pale ndani hakuna mheshimiwa hata mmoja, kuanzia yule muathirika spika mpaka Mzee mdeeWasilete uhuni. Bunge si uwanja wa wahuni.
Wewe ni kati ya wale 19? Kama siyo uwanja wa wahuni nyie 19 mmeingiaje? Wahuni wakubwa nyie.Wasilete uhuni. Bunge si uwanja wa wahuni.
Sasa bunge linakosaje kuwa uwanja wa wahuni wakati kuna wahuni wamo ndani humo na hawana chama ?Wasilete uhuni. Bunge si uwanja wa wahuni.
nina imani na Husna Saidi kazi iendeleeBawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.
Chanzo: ITV habari
Haya mambao yao ya kutishiatishia mbona ya kawaida sana?BAWACHA hawatakagi ujinga!
Hawa BAWACHA, njaa itawaua! Watafute wanaume wa kuwaoa wawasitiri na dhiki ndogo ndogo waache kutia aibu.
Hata kina Mdee wakiondolewa kwenye hizo nafasi, CHADEMA haitokuwa na right ya kupeleka viti maalum wengine kwa kuwa wataonekana kuwa hawakupeleka nominations within a reasonable time; kitu kinachoashiria kuwa wame forfeit their rights.
Hata Halima Mdee ulikuwa na imani naye bwashee!nina imani na Husna Saidi kazi iendelee