ok.🐒Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?
Kwani mama lazima awe rais? Si awapishe wengine ili inchi ipone? Basi nashauri atoswe baharini (kama Yona) ili merikebu ifike salamaWakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?
Hata mimi nashangaa jamani mama keshashindwa apatikane mwingine aokoe nchi!Kwani mama lazima awe rais? Si awapishe wengine ili inchi ipone? Basi nashauri atoswe baharini (kama Yona) ili merikebu ifike salama
Mzanzibar hajawahi kuwa na uchungu na Tanganyika. Mwisho wa siku lolote litalotukuta yeye atarudi Zanzibar.Commonwealth wamempa siku 30 amwachie TUNDU LISSU najua Kwa upumbavu wake atashupaza shingo
Angekuwa natoka bara hili lingewezekana,ila ni mzanziber yule ana Somborne ya uarabu na ni kawaida ya Mwafrika kuogopa Mwarabu au mzingu. Kizazi cha Tiptip.Kwani mama lazima awe rais? Si awapishe wengine ili inchi ipone? Basi nashauri atoswe baharini (kama Yona) ili merikebu ifike salama
Shut upok.🐒
shut down plz 🐒Shut up
Washauri wabaya wa raisi ndio wametufikisha hapa!Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?
Ok nini,mnatia aibu!ok.🐒
sure,Ok nini,mnatia aibu!
Huyu hata sio wa kusingizia washauri wake. Kichwani ni patupu huyuWashauri wabaya wa raisi ndio wametufikisha hapa!
Ushauri murua kabisa huu. Heri mtu mmoja apotelee mbali ili Taifa zima lipone.Kwani mama lazima awe rais? Si awapishe wengine ili inchi ipone? Basi nashauri atoswe baharini (kama Yona) ili merikebu ifike salama
Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?
Sierra Leone, Namibia, Kenya, South Africa n.k wanashangazwa sana ukatili wa serikali ya Samia na vyombo vyake vya ulinzi na usalama pia mamluki wasiojulikanaHadi sasa youtube 21,914 Views
July 13, 2026 counter inasoma