BBC Africa imeachia Documentary mpya kuhusu Tundu Lissu. Mke wake Lissu Alicia nae yumo

BBC Africa imeachia Documentary mpya kuhusu Tundu Lissu. Mke wake Lissu Alicia nae yumo

Hakika this is what we were waiting for..

Hii nchi ilikua kama jalala, watu walikuwa wanaonewa na kunyanyaswa bila huruma. Kuna damu zimemwagika bila hatia.. Na wengine wameuwawa na kupotezwa hata ndugu na familia wasione miili yao.

Tanzania 🇹🇿 mpya iko jikoni, we need change.

Nimemsikia mke wa tundu lisu anaongea mpaka nikase Wth is with these demonic leaders.

Wamatumbi wengi ni wabinafsi, najua hatuta kuja kuendelea kama taifa.. Not in this century.

Lakini amani is what we should fight for mtanzania wa kawaida anapaswa kupata haki yake ya msingi. Aandamane where necessary, katiba iwe beneficial kwake, na apate social needs bila favoritism.

Yale tuliokuwa tu nasikiliza BBC na Dira ya dunia ya DW ndo haya yanayo tokea sasa. Inapaswa chaos itokee ile change ije. Sasa wale walio madarakani nao vichwa vina Waka moto ila hawata reform their ego and greed won't let them.

Sasa ngoja tuendelee kuona huu mtanange unaelekea wapi. Ila I see chaos soo soon.
BBC hiihii ya Nairobi

USSR
 
Utasikia wakisema tupuuzie propaganda za magharibi!
Na wana bidii... 🙎🏾‍♀️
1783945979814.jpg
1783945999433.jpg
1783946021921.jpg
1783946090637.jpg
1783946144190.jpg
1783946164782.jpg
1783946201151.jpg
1783946220152.jpg
 
Wakuu,

Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa

Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania

Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?

Kama namuona yule kenge Balile na wanaijeria wake! Na, story zao za kuosafisha ccm,
 
Mlitaka kuleta vurugu na vita nchini ili muingie Ikulu na wengine eti mtoke kimaisha. A BIG NO.. TUTAILINDA TANZANIA KWA GHARAMA YOYOTE TU. Tumieni njia sahihi ili mkubarike... ETI NITAVURUGA UCHAGUZI NA KUHAMASISHA UHASI..DAMN
Mkuu mpaka sasa. Hakuna kifungu cha sheria kwenye kauli 'NITAVURUGA UCHAGUZI NA KUHAMASISHA UHASI'kuwa ni uhaini,Ndio maana unaona kesi haina kichwa Wala miguu. Nikuambie tu kungekuwa na sheria ilionyooka kwenye kauli hizo za LISSU kesi ingeendelea ila baada ya kuona wameangukia pua jamhuri imeanza kupiga tarehe bila sababu.
 
Kesi ina kichwa na ina miguu ndugu.Sijui kama mnajua maana ya kauli kama hiyo... KAULI YAKE NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA LETU,MAMLAKA HALALI KAA UKIJUA ILO
 
Kesi ina kichwa na ina miguu ndugu.Sijui kama mnajua maana ya kauli kama hiyo... KAULI YAKE NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA LETU,MAMLAKA HALALI KAA UKIJUA ILO
Bishweko maana yake mtu aliyefanywa kinyume na maumbile.
 
Kesi ina kichwa na ina miguu ndugu.Sijui kama mnajua maana ya kauli kama hiyo... KAULI YAKE NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA LETU,MAMLAKA HALALI KAA UKIJUA ILO
Shingo Yako inakazi kweli,kuwa muwazi acha kujidharaulisha mkuu!
 
Back
Top Bottom