HakikaBro sasa hivi ni mda wa fichua maovu kwa kwenda mbele
The Revolution will not be Televised.Tanzania 🇹🇿 mpya iko jikoni, we need change.
Utakunya mfupa!!ok.🐒
🐒Utakunya mfupa!!
Wanajitahidi sana kudanganya umma ila Uma wenyewe ndo wajuao ukweli inashangaza sanaNi swala la mda tu mambo yote yatakua wazi
Yes, and it isn't supposed to... Only the outcomes of it willThe Revolution will not be Televised.
Nimemsikia akiwa Arusha. Anasema nchi yetu inaongozwa na Sheria?DIKTETA UCHWARA KUTOKA KIZIMKAZI AKA CHURA KIZIWI.
Usiwe unapoteza muda kusikiliza chura kiziwi yule ni zombie anayetembeaNi
Nimemsikia akiwa Arusha. Anasema nchi yetu inaongozwa na Sheria?
Hivi anajielewa kweli? Yaani unabambikiza watu mikesi mikubwa kisa Sheria?
Kama nchi inaongozwa na Sheria ilikuwaje wale waliokamatwa kwa uhaini wakaachiwa? Na wewe ndiye ulioagiza??
HakikaNa huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
Kuna jambo linamjia hivi karibuniCommonwealth wamempa siku 30 amwachie TUNDU LISSU najua Kwa upumbavu wake atashupaza shingo
Atujawai kuwapigia COMMONWEALTH vote ili watuongoze. Tanzania is a sovereign government and stateCommonwealth wamempa siku 30 amwachie TUNDU LISSU najua Kwa upumbavu wake atashupaza shingo
Mlitaka kuleta vurugu na vita nchini ili muingie Ikulu na wengine eti mtoke kimaisha. A BIG NO.. TUTAILINDA TANZANIA KWA GHARAMA YOYOTE TU. Tumieni njia sahihi ili mkubarike... ETI NITAVURUGA UCHAGUZI NA KUHAMASISHA UHASI..DAMNHii CCM kila mtu kwa nafasi yake aikatae kwa namna yeyote........wanairudisha nchi nyuma kwa kasi sana na utawala wao wa kidikteta.