Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Hatari sana!Huyu hata sio wa kusingizia washauri wake. Kichwani ni patupu huyu
Hatari sana!Huyu hata sio wa kusingizia washauri wake. Kichwani ni patupu huyu
26,355 Views Julai 13, 2026 counter inasoma
Kama mizizi isipong'olewa,akija mwingine yatakuwa haya haya!Hata mimi nashangaa jamani mama keshashindwa apatikane mwingine aokoe nchi!
Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?
Sio wadhauri wabaya, ni mifumo mibaya kama hii ya Muungano, katiba, bunge, chaguzi, uwazi,uwajibikaji na ukweli.Washauri wabaya wa raisi ndio wametufikisha hapa!
Sio wadhauri wabaya, ni mifumo mibaya kama hii ya Muungano, katiba, bunge, chaguzi, uwazi,uwajibikaji na ukweli.
Huyu Samia hakutakiwa kufika hata ngazi ya uwaziri, umakamu wa urais. Hakutakiwi kuja Tanganyika kuongoza.
Sehemu flani upo SAHIHI...abadili timu yake ya Washauri..tena apate wale wenye MISIMAMO ya kitaaluma, wa ndani na nje ya nchi...Mwisho awe tayari kusikia hata yale asiyoyapenda, kikubwa yawe na UKWELIWashauri wabaya wa raisi ndio wametufikisha hapa!
Hao wote atawafukuza na kuhangaika hadi apate vilaza. Ona alivyohangaika kupata wakuu wa hizi taasisi vilaza usalama, polisi, makamu wa CCM, waziri mkuu, mwenezi wa chama, mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa, wilaya wakuu wa kurugenzi na taasisi zote muhimu na nyeti.Sehemu flani upo SAHIHI...abadili timu yake ya Washauri..tena apate wale wenye MISIMAMO ya kitaaluma, wa ndani na nje ya nchi...Mwisho awe tayari kusikia hata yale asiyoyapenda, kikubwa yawe na UKWELI
Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?
SO SADZamani nikiwa shule ya msingi jioni naenda kwa babu kusikiliza DW na BBC, wanachambua Rwanda na Burundi unaona miinchi ya qjabu kweli kweli. Leo hii hayo matukio ya kipuuzi yanaripotiwa Tz
Asifikiri anatumudu sana.Mzanzibar hajawahi kuwa na uchungu na Tanganyika. Mwisho wa siku lolote litalotukuta yeye atarudi Zanzibar.
HahahahaZamani nikiwa shule ya msingi jioni naenda kwa babu kusikiliza DW na BBC, wanachambua Rwanda na Burundi unaona miinchi ya qjabu kweli kweli. Leo hii hayo matukio ya kipuuzi yanaripotiwa Tz
Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania kweli?
Mnatutia aibusure,
kuzomea zomea ni kitu useless sana aise 🤣