BBC Africa imeachia Documentary mpya kuhusu Tundu Lissu. Mke wake Lissu Alicia nae yumo

Ni
DIKTETA UCHWARA KUTOKA KIZIMKAZI AKA CHURA KIZIWI.
Nimemsikia akiwa Arusha. Anasema nchi yetu inaongozwa na Sheria?
Hivi anajielewa kweli? Yaani unabambikiza watu mikesi mikubwa kisa Sheria?
Kama nchi inaongozwa na Sheria ilikuwaje wale waliokamatwa kwa uhaini wakaachiwa? Na wewe ndiye ulioagiza??
 
Usiwe unapoteza muda kusikiliza chura kiziwi yule ni zombie anayetembea
 
Hii CCM kila mtu kwa nafasi yake aikatae kwa namna yeyote........wanairudisha nchi nyuma kwa kasi sana na utawala wao wa kidikteta.
Mlitaka kuleta vurugu na vita nchini ili muingie Ikulu na wengine eti mtoke kimaisha. A BIG NO.. TUTAILINDA TANZANIA KWA GHARAMA YOYOTE TU. Tumieni njia sahihi ili mkubarike... ETI NITAVURUGA UCHAGUZI NA KUHAMASISHA UHASI..DAMN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…