BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

Kiingereza ni lugha tu kama Kiswahili, labda kama bado mnaendelea kuwaabudu wazungu ambao walibeba babu zenu kama watumwa.
Hivi sheria iliyo andikwa kingereza ikipishana na version ya kiswahili ipi inafuatwa?
 
Mtasifia na ushuzi maadamu aliyejamba ni Lissu
 
Ningesgangaa nisingeona kiingereza kikisifiwa.
 
Kama aliepo kajaribu kuwa raisi basi Lisu anafaa mara 10 zaidi yake.
 
" For development to be meaningful; development must be people centered" - Mwl. JKN

This 2020 I go with Lissu.
In GOD we trust.
 
Mkuu usishobokee sana lugha za wanaume wenzako, hebu nitafutie clip hata moja unakojua ambayo maraisi wafuatao walizungumza English ambayo wewe unadhani kuwa kuongea English ndio usomi. Mchina ,mrusi,mfaransa,mjapan,mjerumani anayo teknolojia. Ila hatumii English. So niletee clip ya maraisi Wa hizo nchi wakiongea English napiga laki chini mkuu bila chenga. Gentamycine or Zero watazishika hizo hela
 
Basi itakuwa ya Kiswahili.
Labda kama wamebadilisha ni kingereza mkuu. Lakini hata ukiacha sheria katika taaluma kingereza kiko mbali sana, huwezi kusema kuwa ni kama kiswahili tuna kazi kubwa ya kufanya(kuwekeza) ili kiswahili kikidhi na kubeba taaluma yetu. Kama ni mambo yetu ya kawaida basi haijalishi kama unatumia kiswahili au kingereza ingawapo kiswahili kinapendeza zaidi na unafikia wananchi wengi zaidi.
 

Huo ni mtazamo wako, ulitaka nani abadilishe? Sheria zetu zote zipo Kiswahili sema wapi umekwazika? Au unaongelea maswala ambayo wewe/wengine wameshindwa kutafsiri Kiswahili? Hata kwenye kiingereza chenyewe kuna maneno wanatumia ya kilatini etc. Kwa nini usiweke mfano hai tuangalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…