BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

Anaulizwa atamshinda vipi Magufuli ambae dunia inaona kafanya kazi kubwa ya kuisogeza Tanzania mbele au una mbinu gani za kufanya zaidi ya kile alichofanya mwenzake.

Jibu lake: ataongeza democracy kwenye jamii.

☝sio maneno yangu watu wasikilize wenyewe maswala ya uchumi yeye hataki kusikia.

Hata hao mabeberu washachoka ile hadithi yake, wanataka kujua what next.
Kwanza uliyoandika hapa sio kweli.

Anza na hili: "---utamshinda vipi Magufuli ambae dunia inaona kafanya kazi kubwa ya -----". Ni dunia ipi hiyo iliyoona hivyo? Kwa hiyo tayari wewe ni mwongo.

Lakini hata katika jibu unalodai kalitoa Lissu, la 'kuongeza democracy", wewe kwa ujinga wako huoni mchango wa watu kuwa huru ndani ya nchi yao na maendeleo ya nchi kwa ujumla?

Maswala ya uchumi kwako ni ujenzi wa miundombinu pekee hata kama watu wanakandamizwa, hawawezi kuwachagua viongozi wanaowataka, wasihoji lolote linalofanywa na hao wanaojifanya wanaleta maendeleo kwa niaba ya wananchi?
 
BBC they are not voters Chadema General meeting are the ones to decide who will be their. Presidential Candidate.

Lisu is a conman conning international media as if he is already selected as a Chadema presidential candidate!! Which is not true!!

Europeans take care of your wallets . Lisu is a conman and a thief.Chadema has not yet selected their presidential candidate!!! Mind your pockets and wallets
Kiinglish cha kuunga unga!🤣 lakini bado ni rubbish!
 
Mkuu ungeandika tu kwa kiswahili ungeleweka kuliko hayo maneno yako ya kiingereza yenye mapengo. Nenda kasome english course pale British council posta
Aende kwa RAS Simba itapendeza zaidi
 
Ila ukimuweka kwenye nafasi ya ngazi za juu kwenye kuongiza nchi atafeli vibaya sana.

Hivyo mtu kama tundulisu hafai kuwa Rais.
Umeandika kiujumla tu kwa kutumwa na hisia zako.

Tupe mifano ya viongozi wanaharakati waliofeli, halafu mimi nitakupa angalau mmoja aliyefanikiwa.
 
" For development to be meaningful; development must be people centered" - Mwl. JKN

This 2020 I go with Lissu.
In GOD we trust.
"For development to be meaningful, (it) must be people centered" - Mwl JKN

Samahani mkuu 'TRUMPLIZATION' (?), imenilazimu niyakoreze maneno hayo matamu toka kwa Mwalimu.

Ahsante kwa kuyaleta hapa.

Laiti kama watu wangeelewa uzito wa haya maneno, tungekuwa watu wa taifa lenye heshima kubwa.
 
Mkuu usishobokee sana lugha za wanaume wenzako, hebu nitafutie clip hata moja unakojua ambayo maraisi wafuatao walizungumza English ambayo wewe unadhani kuwa kuongea English ndio usomi. Mchina ,mrusi,mfaransa,mjapan,mjerumani anayo teknolojia. Ila hatumii English. So niletee clip ya maraisi Wa hizo nchi wakiongea English napiga laki chini mkuu bila chenga. Gentamycine or Zero watazishika hizo hela
Hivi umeisoma mada iliyopo na kuelewa yaliyowasilishwa?

Mbona mada haizungumzii kujua lugha pekee?
Hebu kasome tena mstari wa kwanza baada ya kusifia ujuaji wa lugha mleta mada alizungumzia kitu gani tena!

Unaweza ukajua kutumia lugha halafu usijue unachozungumzia na kusifiwa juu yake? Nyinyi watu mpo 'shallow' kweli kweli.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Anaulizwa atamshinda vipi Magufuli ambae dunia inaona kafanya kazi kubwa ya kuisogeza Tanzania mbele au una mbinu gani za kufanya zaidi ya kile alichofanya mwenzake.

Jibu lake: ataongeza democracy kwenye jamii.

☝sio maneno yangu watu wasikilize wenyewe maswala ya uchumi yeye hataki kusikia.

Hata hao mabeberu washachoka ile hadithi yake, wanataka kujua what next.

Beberu gani uliyeongea naye akakuambia amechoka na hadithi take na kwamba anataka kujuwa what next?

ACHA UONGO BASI.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
There has never been a better time than now to vanquish CCM!

But I do sympathize with your wishes, and I do understand your fears.
No fears even in 2015 Mbowe said the sama but nothing!!! ccm oyeeeee
 
BBC they are not voters Chadema General meeting are the ones to decide who will be their. Presidential Candidate.

Lisu is a conman conning international media as if he is already selected as a Chadema presidential candidate!! Which is not true!!

Europeans take care of your wallets . Lisu is a conman and a thief.Chadema has not yet selected their presidential candidate!!! Mind your pockets and wallets
Wivu mbaya sana, ulipoona TL kasifiwa kimombo chake na hoja zake za mashiko nawe umeamua kutwanga sijui kisukuma!! "BBC they are not voters" !!! Mkuu ungetumia tu kiswahili, au unahisi kwa kuongea kiingereza mababeru wanasoma huu upupu wako?
 
Back
Top Bottom