BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

Didim you listen it carefully? Did you hear what lissu said? I think your are just raping facts
 
unateseka sana mzee... angalia sasa utapata pumu bure na lugha za watu hizi waachie wenyewe
 
K
Bila Shaka, lissu atakua rais anayeungwa mkono dunia nzima sababu ya kuijua sheria vizuri. Tayari huko duniani wameshampitisha bado sisi sasa.
Basi waliompitisha aende akawe rais wao.
 
Lisu alitakiwa aje 2025 hii ya 2020 kama kafanya hesabu vibaya vya kuizika CCM
 
Hahaha,dah
 
Lissu The Greatest
 
BBC are not Voters na sio BBC they are not Voters
 
Sio swali la mtazamo wangu, ndio sheria zao zinavyosema. Kuna wakati version ya kiswahili na kingereza hupishana, na hapo watakwenda na ya kingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…