Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Hili andiko ( lenye kivuli cha BBC) linalenga kufedhehesha na kudhoofisha maarifa ya ndani ya Afrika.Siliungi mkono hata kidogo ninalipinga kuanzia mwanzo mpaka mwisho kama linavyopinga mawazo ya ndani ya Africa mwanzo mpaka mwisho.
Naomba kwanza niweke sawa juu ya njia ya kufukiza "steam therapy" hii njia siyo ngeni Afrika Asia, Amerika na Ulaya na imekuwa ikitumika kusaidia kupunguza maumivu yaletwayo na mafua tusitake kupotosha sana kana kwamba hii njia haipo kabisa na ni wazo potofu.
Mbona Rais wa Marekani anasisitiza matumizi ya hadroxlcloroquine na kwa watu wake mbona hamlikosoi hili?
Nchi nyingi Duniani zinafanya blending ya indigenous knowledge na expert knowledge ili kupata suluhisho siyo Tanzania tu.
BBC ninaamini wana ubobevu , weledi na umahiri ukiachiloa mbali umilisi wa kuchukua habari lakini hii inaoneka ni habari iliyojaa pendeleo binafsi " vested interest news" Juu ya msaada wa barakoa Afrika na Tanzania kwa upekee inachohitaki ni usalama "kushuku siyo tatizo" na haipo haja ya kujitetea juu ya hili " they must be tested first".Kwanini mnataka tuamini tu wakati kuna "bureau of standards".Mbona tukija Ulaya mnatupima mpaka minyoo na nyie inakuja Africa bure?.Let us be skeptic for our benefit just like you.
Kwa nini kujitetea sana na kuonesha Afrika inakosea kuwa na mashaka?
Kila Taifa leo lina mashaka kwa nini inasemwa tu Afrika kwenye andiko hili? Je Afrika ndilo bara lenye mashaka sana kuliko Mabara mengine yote? Na he kuwa na mashaka ni kukosea au ni njia ya kutafuta usahihi?.