BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

Ukrein wanaitaji chakura na madawa ila nato wanawapelekea makombora [emoji16]
Umewasikia wapi wakiomba chakula, Ukraine ni moja ya mataifa kumi yenye akiba kubwa ya chakula duniani, ndio nchi ya tatu kwa uzalishaji wa mafuta ya kupikia duniani. Mzozo huu tu hadi bei ya mafuta ya kupikia imepanda duniani kote.
 
Mambo yanazidi kunoga
 
Kwaiyo watakula mafuta yakupikia
 
Sio habari njema kwa hii vita. Na ninaona kama Ukraini anazidi kuchongewa, Urusi itaamua kubadilsha Chapter na kutumia Chapter mbaya zaidi dhidi ya Ukraine. NATO wanachokifanya ni sawa na Kumlipa mdeni wako katika tukio la Ujambazi, yaani Mmevamiwa na majambazi ndio hapohapo unamlipa Deni mdeni wako sasa hapo ni kumtakia meme kweli mdeni wako?
 
Nini hatma ya huu "mgogoro"?
Hii ni habari njema au mbaya kwetu (mataifa yote kiujumla)?
Je, Putin atasitisha "operesheni" yake ya kijeshi baada ya hili (kumsaidia silaha Ukraine)? Kipi ni rahisi na muhimu kufanya katika "mgogoro" huu? Kuisaidia "kijeshi" Ukraine au "kumshawishi" rais wa Ukraine akubaliane na masharti ya Urusi?
 
Umewasikia wapi wakiomba chakula, Ukraine ni moja ya mataifa kumi yenye akiba kubwa ya chakula duniani, ndio nchi ya tatu kwa uzalishaji wa mafuta ya kupikia duniani. Mzozo huu tu hadi bei ya mafuta ya kupikia imepanda duniani kote.
Wanaona Ukraine kama Congo
 
Masharti ya kipumbavu kama kuiachia Crimea,,asiwe na jeshi wala silaha nk. Hivyo ndo vitu vya kumshauri Ukraine akubaliane navyo!?? Uko serious!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani anatunguaga misafala yeye analenga tu pale zitakapohifadhiwa hizo silaha uzuri hypersonic haina mpinzani cha muhimu ni kujua tu watu wamehifadhi silah wapi unapiga kombora moja tu watu wanaanza upya tena
 
Si mlisema mtamsabulia kwake yeyote atakaeisadia Ukraine? Anzeni na Poland kwenye channel ya kupela silaha Ukraine.
 
Huo mzigo unatakiwa ukifika Ukraine raia na wanajeshi wagaiwe saa hiyo hiyo ukiuweka stoo urusi wataulipuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…