BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

Na ndicho kilichosababisha utatu wa Australia, USA na Uingereza ulioundwa jana
 
Huwa naamini JWTZ hakuna ufisadi na masuala ya rushwa. Sijui kama nipo sahihi? Nchi zingine unakuta Majenerali wanaukwasi wa kufa mtu. Wana makampuni na wameshika tenda nono nono.
Kama Kenya na Uganda
 
Hamza ndio kaporomosha jeshi
 
CONCLUSION:
[emoji666][emoji666][emoji666]Tupo hapa tulipo kwa nguvu za mwez Mungu tu[emoji24][emoji24]

[emoji117]BONGO BADO SANA KISILAHA, KIMBINU , MPANGILIO NA HATA MAZOEZI.

MWANAJESHI KUTWA NZIMA ANAFANYISHWA KAZI SHAMBANI (KULIMA).

[emoji117]TUNAUZIWA SILAHA NA MABEBERU (MAADUI ZETU).
[emoji117]TUNAPEWA MBINU ZA KUJESHI NA MABEBERU.
[emoji117]N.K
iz so sad ....
 
South Africa walitakiwa wawe number 1
Jeshi lao lipo very well organised
Sio organised tu, bali wanatengeneza mpaka baadhi ya vifaa vya jeshi wenyewe, kama attack helicopters, armoured personnel carriers(APCs), armoured vehicles etc. Wa-South wapo vyema na mbali sana.
 
Unajua maana ya utafiti? Ok, moja ya aina ya utafiti ni kujumuika na jamii husika ukaishi nayo na kufanya wafanyao, hii uwezesha kupata kile unachokihitaji kwa urahisi. Kuishi kwangu huku nimekuwa nikifatilia mgogoro huu mkubwa. Nashukuru kuwa nimekutana na watu wakubwa kwa wadogo ambao wamenipa historia hii. Lakini pia nimejionea mwenyewe.

Sijaongelea kujisifia kusafiri duniani. Nimeitaja Ethiopia kuliko na Tatizo na kuwakatalia hao BBC kuwa jeshi la Ethiopia linaudhahifu mkubwa.
Nashangaa wewe umefadhahika na kuanza kudhani tunaongelea kutembea duniani. Ingekuwa hivyo ningetaja nchi zote nilizotembelea lkn nimeongelea Ethiopia kwa sababu nipo huku na ninafanya tafiti kadhaa.

Wewe uzunguke dunia nzima ni maamuzi yako, ila swala hapa ni Ethiopia, nilioiongelea. Usiwe na mawazo ya kujihisi na sishindani nawe kuzunguka dunia. Jikite katika hoja. Utafiti unaruhusu mtu kwenda eneo husika na ukaeleza ulichokiona. Uwezi zuia nisiseme nilichokiona Ethiopia kwa kuwa niko huku. Nimeshuhudia mauaji kwa macho yangu. Nimeshuhudia mateso kwa macho yangu. Ati nisiseme niko Ethiopia. Naeleza nilichokiona. Mada si kuzunguka ulimwengu! Nimeongelea Ethiopia narudia unielewe.
 
Sio organised tu, bali wanatengeneza mpaka baadhi ya vifaa vya jeshi wenyewe, kama attack helicopters, armoured personnel carriers(APCs), armoured vehicles etc. Wa-South wapo vyema na mbali sana.
Kwa ajili ya wale makaburu
 
Mkuu embu gusia Kenya na Uganda ambao wanaaminiwa wametushinda.
 
Nchi zetu za Africa hatuna huo uwezo mnaosema eti tuna silaha za siri, ndugu zangu taifa letu tunanunua silaha zote toka kwa wakubwa China, Russia, USA n.k, hao wana intelejensia mwanzo mwisho na taarifa zote kuhusu uwezo wetu kijeshi, kawaida ya mzungu anaweza kukuuza muda wowote endapo kama kwake ni faida kukuuza.

Nchi kama North Korea au Iran wanaotengeneza silaha zao wenyewe lakini bado satellite za USA zita spy taarifa kwa yanayoendelea, silaha wanazotengeneza n.k, sisi tupo uchi mbele ya hao watu.

Someni hata jinsi Israel alivyompa Russia codes za kuhack drones kwenye ile vita na Georgia, na Russia akampatia codes za kuhack Tor M1 na S-300 za Syria.

Wenye siri ni hao wanatengeneza silaha huko Area-51 sio sisi, leo hii Rwanda wanaweza kununua taarifa zetu za ki usalama
 
Marekani wamepigana na Taleban (kikundi Cha wahuni) kwa miaka 20, wakakimbia uwanja wa mapigano...

Ubora wa kijeshi ni bias classification.

Ila Ukinunua T 72, MIG, Sukhoi, Kamikaze Drone... kabla haijafika kwako wao wanajua.

Ukiiwasha kabla haijaijaanza kusogea, wanajua.. probably wametutendea haki kama hamza aliweza kusimamisha robo ya mji mkuu peke yake.

Siongelei kwa ushabiki Ila kwa aliyewahi kufika msumbiji mji unaoitwa quelimane kabla ya makaburi ya askari wetu hayajahamishwa na mabaki ya vifaru vyetu hayajatolewa anaweza kutoa ushuhuda..... Jeshi letu ni la kawaida
 
Kwa jinsi Hamza alivyowaendesha mpaka wakapata kizunguzungu sikutegemea kuwaona hata kwenye 40.Tumejitahidi hapo mbona
 
This isn't a battle ground so just relax. Hiko hivi mwanzo kabisa ulikuwa unaweza kutoa maelezo yako vizuri without telling me that you are in Ethiopia ni kaelewa vizuri

Yes, unaweza kuwa na picha nzuri ya kinachoendelea huko but guess what I also have sources that I can rely on to get what is taking place in Ethiopia

Moreover, thank you man for your clarification.
 
Tofautisha jeshi la kulinda amani, na vita. Marekani haijawai kuwa na Vita na Afghanistan, bali walikuwa walinda Amani dhidi ya Wataliban. Kama ilivyo jeshi la Tanzania DRC Congo, Ilivyokuwa Msumbiji na Kwingineko. Lakini Ethiopia na Eritrea zilikuwa na vita ya kupigania eneo.
Si kulinda amani.

Jeshi la Tanzania lilipelekwa Libya kulinda Amani. Kuna muda walivamiwa baadhi waliuwawa hata huko Congo. Nilikuwa najiuliza zamani kwa nini Tanzania tusipeleke jeshi likawashambulia? Nilikuwa bado mjinga, ndo nikaelimishwa tupo kulinda amani si vita japo majeshi ya waasi mara nyingi ufanya makusudi kuvamia majeshi ya kulinda amani.

Marekani nayo huko walivamiwa na Taliban wakauwawa baadhi ya askari. Unadhani ni kwanini Marekani aikupeleka jeshi na vifaa kuwafutilia mbali wataliban. Marekani haikuwa kwenye vita bali kulinda Amani. Ndo maana iliamua kuondoa majeshi yake Afghanistan. Hata wanapoondoa watu wao Taliban waliheshimu. Haikuwa vita ndugu yangu. Ha ha ha ha!
Tujue kutofautisha kulinda amani na Vita. Na ulindaji amani unasheria zake.
 

Nilikushangaa ulivyoshuka habari za Ethiopia na Tigray. Hili la Marekani na Afghanistani umesema uongo. Marekani na washirika wake walienda kupigana vita vya kuzima ugaidi. Wameshimdwa na washirika wo na wamekimbia uwanja wa kiutuuzima na kuwaacha magaidi taliban wakiendelea kuitawa Afghanistan kama ilivyokuwa kabla ya uvamizi.

Uganda, Rwanda, Kenya na waaina hizo hawewezi kuwa juu ya JWTZ, hata wao wenyewe wanawashangaa BBC. Uganda wakati mwengine wanajeshi wao wanavya gumboots!!! Uganda na Kenya wanataka kuikimbia Somalia lakini hawana budi wanakufa na tai shingoni.
 
Maajabu ni mengi sana hapa nyumbani.
 
kukiwa na vita kati yetu na jirani zetu kenya, nakwambia kenya itaiteka mji wa dar ndani ya siku 7 za mwanzo, jwt ni mboga kabisa, wale wengi sio ati wanajua kitu, ni watoto wa wakuu wa ccm na familia zao na mambo kaa hayo, jiulize bona kila uchanguzi wanatumiwa kuua watu, haswa kule zanzibar????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…