BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu huwa wanatelekeza hekari 5 zao na kwenda mjini kuokota makopo ama kuwa barmaid
 
Viwanda ndiyo jawabu sahihi.

Kutegemea soko la mpaka upewe mashariti ya kukubali ushoga ndiyo wanunue kwa bei nzuri ni ujinga
Big Brain JPM alianzisha hamasa ya viwanda...Makuhadi wa Uchumi wetu,na wachumia tumbo,wakamuhujumu.
 
Sasa waamekwama nini hapo na hayo ni mafunzo?

Tanzania kunakosekana soko la ng'ombe? Unaishi Tanzania hii au nje ya Tanzania?
Yan iko ivii bei wanayotaka kuuza iko juu kuliko bei ya Soko ambayo imezoeleka, na kadri siku zinavyozidi kusogea ,ndio gharama za kuwatunza zinazidi kuongezeka
 
Big Brain JPM alianzisha hamasa ya viwanda...Makuhadi wa Uchumi wetu,na wachumia tumbo,wakamuhujumu.
Jambo linasimamiwa na Samia,Bashe au Mwigulu unaweza kuliamini kweli?
Hawana uwezo wote ni zero brain!
 
Bashe tulimwambia kilimo ni wakulima, wakulima wa maeneo halisi wanamtumia taarifa za maombi ya mradi wa BBT ili ziwasaidie Kwa kuwa Wana uzoefu wa Muda mrefu, walicho kuwa wanakihitaji ni technology ya kisasa, lakini bashe hakutaka kuwapa mafunzo, .
 
E
Soko la ng'ombe lina shida gani au hawafugi ngombe wa kawaida?

Bei ya nyama iko juu sana maana yake soko la ngombe ni la uhakika
Exactly, kilo ya nyama ni elfu 8, ngombe anatoa kilo 400 za nyama, wakitengeneza butcher ya kisasa qana uhakika wa milioni 7 kila siku yaani kuuza ngombe wawili kila siku
 
Sasa vijana wa BBT wanalalamikia kukosa soko la ng'ombe wao 600 tu
Pale nyakato mwanza zaidi ya ngombe mia juchinjwa kilasiku, hao miasita ni mlo wa wiki tu, au wanaplan wakauze comoro?
 
Umebobea haswa.......naomba utufahamishe ni vitu gani vilikufanya upinge wazo la bashe na mpka leo umesimama nalo


Linaweza kuwa funzo kwetu pia
 
Yan iko ivii bei wanayotaka kuuza iko juu kuliko bei ya Soko ambayo imezoeleka, na kadri siku zinavyozidi kusogea ,ndio gharama za kuwatunza zinazidi kuongezeka
Walivyomaliza chuo wakadai ajira hakuna, wamepelekwa shambani wamepewa na ngombe wanasema soko hamna wakipewa soko watasema bei ndogo.

Rais chissano wa msumbiji alisema umasikini ni fikra, hawa vijana hata ufanyeje hamna kitu,

Hapo mwabuki wagawe plot wawahamishie hapo wasukuma kutoka sumbawanga baada ya mwaka wata export ngombe comoro
 
Mbona tunaambiwa soko la ng'ombe hasa WA nyama ni kubwa ?

Mwisho umeleta habari kimbea Mbeya Kwa sababu zipi?
 
E

Exactly, kilo ya nyama ni elfu 8, ngombe anatoa kilo 400 za nyama, wakitengeneza butcher ya kisasa qana uhakika wa milioni 7 kila siku yaani kuuza ngombe wawili kila siku
Itakuwa hujawahi kuuza hata mshikaki wewe. Umepewa hayo mahesabu na motivation speaker ndiyo unayaleta huku JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…