mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wanawachukua wale wanaotoka kidimbwi na juliana wakalimeMnaacha kuwawezesha wakulima huko vijijini mnatuletea miradi ya kihuni huni tu.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawachukua wale wanaotoka kidimbwi na juliana wakalimeMnaacha kuwawezesha wakulima huko vijijini mnatuletea miradi ya kihuni huni tu.
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.[emoji419][emoji375]Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.
View attachment 2786712
Source: ITV habari.
Asante kwa kukaziaSerikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahMagoli ya Simba na Yanga alinunua, tunasubiri na hawa ng'ombe wanunuliwe pia
HeeheSerikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu huwa wanatelekeza hekari 5 zao na kwenda mjini kuokota makopo ama kuwa barmaidHizi story za kuwa kilimo ni mkombozi huwa sizielewi vizuri, maana wakulima wengi ndio wenye ugumu wa maisha. Fuatilia vizuri utakuta barmaid hapa mjini ana maisha mazuri, na ndio anayetuma hela kwa ndugu zake wanaomiliki zaidi ya hela 5 huko kijjini!
Ukitaka kujua kilimo ni janga katika nchi hii, aende barmaid bank na mkulima mwenye heka 5 wakitaka mkopo uone nani atakopeshwa mapema. Hapo ndio utajua kilimo ni Nini.
Sasa vijana wa BBT wanalalamikia kukosa soko la ng'ombe wao 600 tuTanzania kunakosekana soko la ng'ombe?
Huko kote kumejaa madalali yanayomgandamiza mfugaji. Madalali ndiyo yananufaikaPugu lipo, vinguguti lipo, saa 24 hapo hukosi mnunuzi wa ng'ombe. Minada ya mifugo imejaa Tanzania nzima.
Big Brain JPM alianzisha hamasa ya viwanda...Makuhadi wa Uchumi wetu,na wachumia tumbo,wakamuhujumu.Viwanda ndiyo jawabu sahihi.
Kutegemea soko la mpaka upewe mashariti ya kukubali ushoga ndiyo wanunue kwa bei nzuri ni ujinga
Yan iko ivii bei wanayotaka kuuza iko juu kuliko bei ya Soko ambayo imezoeleka, na kadri siku zinavyozidi kusogea ,ndio gharama za kuwatunza zinazidi kuongezekaSasa waamekwama nini hapo na hayo ni mafunzo?
Tanzania kunakosekana soko la ng'ombe? Unaishi Tanzania hii au nje ya Tanzania?
Wajinga sana hawa.Wanawachukua wale wanaotoka kidimbwi na juliana wakalime
Ova
Jambo linasimamiwa na Samia,Bashe au Mwigulu unaweza kuliamini kweli?Big Brain JPM alianzisha hamasa ya viwanda...Makuhadi wa Uchumi wetu,na wachumia tumbo,wakamuhujumu.
Exactly, kilo ya nyama ni elfu 8, ngombe anatoa kilo 400 za nyama, wakitengeneza butcher ya kisasa qana uhakika wa milioni 7 kila siku yaani kuuza ngombe wawili kila sikuSoko la ng'ombe lina shida gani au hawafugi ngombe wa kawaida?
Bei ya nyama iko juu sana maana yake soko la ngombe ni la uhakika
Pale nyakato mwanza zaidi ya ngombe mia juchinjwa kilasiku, hao miasita ni mlo wa wiki tu, au wanaplan wakauze comoro?Sasa vijana wa BBT wanalalamikia kukosa soko la ng'ombe wao 600 tu
Umebobea haswa.......naomba utufahamishe ni vitu gani vilikufanya upinge wazo la bashe na mpka leo umesimama naloMimi ni mtaalam wa kilimo cha umwaviliaji kwa zaidi ya miaka 35 sasa. Kati ya hiyo miaka, nimefanya na Waholanzi zaidi ya miaka 15, Waisraeli zaidi ya miaka, nane,.miaka iliyo baki niko binafsi, Bashe alipo kuja na hii hypothesis yake ya BBT nilikuwa mstari wa mbele kuipinga, na hadi sasa naipinga. Ni ndoto za alinacha.
Nilisema kabisa, kilimo sio sawa na kuuza magazeti.
Tuwe na huruma na pesa za umma
Walivyomaliza chuo wakadai ajira hakuna, wamepelekwa shambani wamepewa na ngombe wanasema soko hamna wakipewa soko watasema bei ndogo.Yan iko ivii bei wanayotaka kuuza iko juu kuliko bei ya Soko ambayo imezoeleka, na kadri siku zinavyozidi kusogea ,ndio gharama za kuwatunza zinazidi kuongezeka
Mbona tunaambiwa soko la ng'ombe hasa WA nyama ni kubwa ?Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.
View attachment 2786712
Source: ITV habari.
Itakuwa hujawahi kuuza hata mshikaki wewe. Umepewa hayo mahesabu na motivation speaker ndiyo unayaleta huku JF.E
Exactly, kilo ya nyama ni elfu 8, ngombe anatoa kilo 400 za nyama, wakitengeneza butcher ya kisasa qana uhakika wa milioni 7 kila siku yaani kuuza ngombe wawili kila siku