- Thread starter
- #81
Umeambiwa na nani? Unaamini habari za kuambiwa na mwanasiasa mtanzania?Mbona tunaambiwa soko la ng'ombe hasa WA nyama ni kubwa ?
Mwisho umeleta habari kimbea Mbeya Kwa sababu zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa na nani? Unaamini habari za kuambiwa na mwanasiasa mtanzania?Mbona tunaambiwa soko la ng'ombe hasa WA nyama ni kubwa ?
Mwisho umeleta habari kimbea Mbeya Kwa sababu zipi?
Hao ng'ombe wa Nyakato ni wale wanaofugwa kwa kudra za Mungu. Yaani ng'ombe tangu azaliwe mpk anapelekwa sokoni hajawahi kupewa dawa hata siku moja. Amejawa magonjwa kama yote.Pale nyakato mwanza zaidi ya ngombe mia juchinjwa kilasiku, hao miasita ni mlo wa wiki tu, au wanaplan wakauze comoro?
Kama ngombe anauzwa Kwa kilo zake basi hao wa BBT wauzwe 1.5M Kwa kilo zile zile basi something is wrongHao ng'ombe wa Nyakato ni wale wanaofugwa kwa kudra za Mungu. Yaani ng'ombe tangu azaliwe mpk anapelekwa sokoni hajawahi kupewa dawa hata siku moja. Amejawa magonjwa kama yote.
Kwahiyo hao wasukuma wa Nyakato wakipewa shilingi laki 6 kwa ng'ombe mwenye umri wa miaka 5 watapata faida kwasbb hawajawahi kugharamia hata shilingi moja zaidi ya kuwapigia mikoma.
Lkn hawa vijana wa BBT wanafuata taratibu za ufugaji bora, hivyo kuna gharama wanatumia. Ili kupata faida ni lazima ng'ombe auzwe kwa shilingi milioni 1.5 mpk milioni 2. Kuna mnunuzi gani hapo Nyakato anaweza kutoa hela hiyo kununua ng"ombe??
miaka ya nyuma tulikuwa tunaenda kununua nyama na maziwa mwabuki, ilikuwa wanachinja kila jumamosi, sasa hawa dogo janja wanataka soko gani, hii program ingehusisha wastaafu au wafugaji wenyewe ingekuwa very good, kule misenyi wafugaji wamegawiwa plot kwenye shamba la kitulo ndo unasikia akina kahama fresh, kahama milk, ngara milk, sasa hawa sijui mliwatoa wapi?Kama ngombe anauzwa Kwa kilo zake basi hao wa BBT wauzwe 1.5M Kwa kilo zile zile basi something is wrong
Yes mkuu wanauzwa kwa kilo, ngombe wa kawaida ana kilo 500 hadi 600, wakinyankole wale bugesera wana kilo 1,200 hadi 1,500. Huyu ukimchinja nyama haipungui kilo 1000, kwa bei ya jumla hukosi 7m, hapo hujauza ngozi kende kongoro pembe kichwa ulimi damu midisani kichuriKama ngombe anauzwa Kwa kilo zake basi hao wa BBT wauzwe 1.5M Kwa kilo zile zile basi something is wrong
Wapaka poda, wadangaji na wacheza pool wakidandia shughuli za kilimo na ufugaji lazima kuwe na "something wrong"Kama ngombe anauzwa Kwa kilo zake basi hao wa BBT wauzwe 1.5M Kwa kilo zile zile basi something is wrong
Hawa wametoka Facebook kupitia godfather anayepatikana Lumumba streetkule misenyi wafugaji wamegawiwa plot kwenye shamba la kitulo ndo unasikia akina kahama fresh, kahama milk, ngara milk, sasa hawa sijui mliwatoa wapi?
heka moja inasafishwa kwa 16mBBT ni Kilimo Cha kwenye Tablet, sawa na zile stori za kilimo cha matikiti za whatsapp
😂 😂 Halafu mapato kwa heka moja ya matikiti ni milioni 40. Kilimo cha kwenye WhatsApp ni noma sana.heka moja inasafishwa kwa 16m
Mradi wa kufanyia MLBBT ni Kilimo Cha kwenye Tablet, sawa na zile stori za kilimo cha matikiti za whatsapp
Acha kupotosha watu kama huna taarifa ya kitu sio lazima kuchangia!! Juzi hao vijana wamelalamikia masoko kuwa wanayoyapata yanahitaji ng'ombe mwenye kilo ndogo kabisa ni 200kg!!wakati hao wanao wanenepesha hapo mwabuki mwenye kilo nyingi zaidi ni 200!!! Na ni wachache!! Wengi ni chini ya hapo.Una hamu project za serikali kukwamua watu wake zifeli,unapata faida gani?
Ng'ombe hakosi soko,labda ng'ombe wao wamenona Sana Bei kubwa
Mkuu Nguruvi3 , naunga mkono hoja, Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!Katika mawaziri wanaofanya vizuri Bashe ni mmoja wao. Mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Naunga mkono, capacity building kwa vijana wetu bado inahitajika.Vijana wa Tanzania siyo 'aggressive katika Business' ndiyo maana hata mashirika mengi yanakwepa hapa kwetu.
JokaKuu Pascal Mayalla
Soko lipi limekosekana?Yaani unaanzisha project bila ya kuwa na uhakika wa soko? wamekosa hata soko la arabuni......bwashee bhana.
Kuomba masoko sio kukosa masoko!.Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.
View attachment 2786712
Source: ITV habari.
nimeshangaa kusikia ng'ombe hawana soko katika nchi hii.Soko la ng'ombe lina shida gani au hawafugi ngombe wa kawaida?
Bei ya nyama iko juu sana maana yake soko la ngombe ni la uhakika
Ukiacha kilimo cha makaratasi, pia ni kilimo cha kisiasa.Mtu anakwambia Ufuge ng' ombe wa kisasa ambaye mathalani atakugharimu laki saba kumtunza kuanzia anazaliwa hadi anakomaa kuuzwa.
Ukienda sokoni unakuta ng' ombe anauzwa laki saba hiyo hiyo.
Vilimo vya makaratasi viko namna hii.
Watu siyo 'innovative' halafu hawana business acumen. Mtu anataka Waziri Bashe amtafutie soko! noo ni ujinga.Soko lipi limekosekana?
Unamsikiliza huyo mnafiki aliyeleta huu uongo?
Kuna siku ngombe akakosa soko Tanzania hii? Huyo anaekosa soko la ng'ombe ni bwege tu, kwanza Tanzania wameanzisha mpaka gesti za ng'ombe ukiona soko limezubaa ulipo wanawapeleka gesti ya butre kabisa, wanakula vizuri wanaongeza kilo, wanapumzika, wanakuja wenyewe wateja kuwanunuwa.
Serikali haijakisia kwenye BBT.
Tusidanganyane. Roho zinawauma mahasidi kwa kuona mafanikio makubwa kwa muda mchache sana.
Sasa cherehani inaweza kuchakata ng'ombe?Kwani vile viwonder 8000 kila mkoa havipo tena?