masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Watanzania mna vichwa butu sana.Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.
View attachment 2786712
Source: ITV habari.
Badala ya kuchangia nia nzuri ya serkali kuondoa vijana barabarani, ninyi mna zomea na kufurahia matatizo.
Mna mindset za kushindwa1