Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

Screenshot hayo mawasiliano, halafu weka sawa na rekodi zako za gharama ulizoingia, kisha nenda kwa mwanasheria ambaye yupo vema kwenye international laws akupe ushauri wa namna ya kudai fidia yako sababu huo ni utapeli wa mchana kweupe.
Soma term and condition ndiyo uanze kudai fidia bila hivyo itakula sana kwenu
 
tbs wanakula tu rushwa, wanapewa laki 3 gari wanapitisha
 
Kama una evidence zote, fungua kesi utashinda. Beforward wana kesi nyingi sana mahakamani za aina hiyo
 
Reactions: PYD
Hawajanipa
Ndo nimemchek davina nimemwambia nahitaji yeye ndo nilimtumia
Nina kama 3 weeks tangu nilipie
Kwani karatasi natakiwa kupewa lini?

Unaweza kunisaidia number ya davina ya davina tafadhali kama hutojali kaka...Nakumbuka mara ya kwanza nilitaka kuagiza gari online nikamtuma mtu aende pale ofisini kwao eakaingalia wakakuta ina matatizo wakanitafutia gari nyingine nzuri kabisaa na haikuwa na shida kabisaa....ila kuna mtu nilimuachia amepata nayo ajali inabidi ninunue nyingine tena.....
 
POLE SANA MKUU M NILIPGWA NANKITU KIZITO SIJARUDI TENA HUKO
 
MIAKA 7 AMA 8 ILIOPITA NILIAGIZA NOAH NYEUSI IKAFIKA SALAMA NIKAENDACHUJKUA NDUGU ACHA TU NAENDESHA KUFIKA MAENEO YA CLOUDS IKANIZIMIKIA...PIGA AWAPOKEI NIKAITA WYFE AKAJAKUNIVUTA NA MSALABA WANGU

IKAPAKI TANKIBOVU NIKAWAPIGIA ASBH YAKE WAKASEMA NIIPELEKE GODWN LAO LIKO HAPO GEREXAN NKHAWAMBIA HAIWAKI AITEMBEI BASI NIKALIVUTA MPAKA GARAGE LAO KULE NKASHIKWA NA MSHANGAOO MAGARI KIBAO MAPYA YANAREKEBISHWA NA MAFUNDI AISEEE KUWA UYAONE


NKAWACHIA GARI LAO NXTYDAY NAPIGIWA ENGINE IMENOCK YA KUBADILISHA SITOSAHAU YULE KAKA ANAITWA MASSAWE MCHAGA AKANIAMBIA KAKA HII UMEPIGWA

MIKISUBIR MWEZI WANADAI ENGINE IMEAGIZWA JAPAN NDUGU KUJA KUICHUKUA N BALAA NIKAAMUA AKAFE NALO MWINGINE TOKA SIKUHIO SINAHAMU NAO
 
SASA KULE GARAGELAO WANACHOFANYA KAMA WEWE UNAHITAJI KITU UKIWAMBIA WAO WANATAKA CHA ZAMAN WANAKUTOLEA KWENYE MAGARI MAPYA BALAA
 
0752 920 227
 
Ndio hivyo na gari ipo juu ya mawe, inaniumiza sana. Mbaya zaidi Be forward hawakutaka kunisaidia kwa lolote. Imenikatisha sana tamaa ya kutumia Be forward, na sifahamu sana mitandao mingine ambayo ni genuine ya kuagiza magari
kuna mtandao unaitwa 'Every Japan' , huwa wanakuwa na gari chache lakini nyingi ni nzuri na mara nyingi wanaweka kwenye platform yao gari ambazo zinatembea na zina hari nzuri, ila bei zao ziko juu kidogo lakini unapata kilichobora.
 
Sijawahi kumuamini mbongo kwenye biashara! Labda kinyozi!
Hiyo ngoma imenunuliwa hapa hapa bongo! Ni chezo tu limechezwa!
 
kuna mtandao unaitwa 'Every Japan' , huwa wanakuwa na gari chache lakini nyingi ni nzuri na mara nyingi wanaweka kwenye platform yao gari ambazo zinatembea na zina hari nzuri, ila bei zao ziko juu kidogo lakini unapata kilichobora.
Enhance Auto nao wako vizuri sana
Wanachangua magari mazuri na yako kwenye ubora wa hali ya juu
 
Ushaambiwa recondition aka used 😄
Ila kununua gari mpya brand new ina raha yake bana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…