msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Huwezi kufidiwa kwa ujinga wako hata uende wapiHii ni hasara ya kufidiwa kabisa. Mimi siwezi kukubali aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kufidiwa kwa ujinga wako hata uende wapiHii ni hasara ya kufidiwa kabisa. Mimi siwezi kukubali aisee.
Soma term and condition ndiyo uanze kudai fidia bila hivyo itakula sana kwenuScreenshot hayo mawasiliano, halafu weka sawa na rekodi zako za gharama ulizoingia, kisha nenda kwa mwanasheria ambaye yupo vema kwenye international laws akupe ushauri wa namna ya kudai fidia yako sababu huo ni utapeli wa mchana kweupe.
PoaMcheki huyu mwamba ni uhakika zaidi Isanga family
tbs wanakula tu rushwa, wanapewa laki 3 gari wanapitishaWakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na tena Be Forward Tanzania ndio walifanya clearance. Sasa cha ajabu gari imefika inavuja oil, pia imepigwa rangi nyeusi kumbe Original color ilikuwa ni Nyeupe, ikabidi tena ifanyiwe service hapa Tanzania kwenye yard ya Be Forward ndio TBS wakaipitisha.
Lakini gari bado ina matatizo mengi sana ya check engine, rejeta, masega na Engine box. Nimejaribu kufuatilia Be forward Tanzania wananijibu sababu niliagiza moja kwa moja Japan na Singapore hiyo haiwahusu. Nimefuatilia ilipotoka wananizungusha bila majibu ya kueleweka. Sasa nimeishia kupaki gari sababu haina nguvu na injini inachemsha.
Naomba mnisaidie kama kuna mwenye ushauri wa nini cha kufanya.
Asanteni wakuu.
Nashukuru ndugu yanguKama una evidence zote, fungua kesi utashinda. Beforward wana kesi nyingi sana mahakamani za aina hiyo
Hawajanipa
Ndo nimemchek davina nimemwambia nahitaji yeye ndo nilimtumia
Nina kama 3 weeks tangu nilipie
Kwani karatasi natakiwa kupewa lini?
Unaombaje hii auction sheetUliomba Auction Sheet na Condition Report? Au uliangalia bei rahisi tu
Condition reportUnaombaje hii auction sheet
POLE SANA MKUU M NILIPGWA NANKITU KIZITO SIJARUDI TENA HUKOWakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na tena Be Forward Tanzania ndio walifanya clearance. Sasa cha ajabu gari imefika inavuja oil, pia imepigwa rangi nyeusi kumbe Original color ilikuwa ni Nyeupe, ikabidi tena ifanyiwe service hapa Tanzania kwenye yard ya Be Forward ndio TBS wakaipitisha.
Lakini gari bado ina matatizo mengi sana ya check engine, rejeta, masega na Engine box. Nimejaribu kufuatilia Be forward Tanzania wananijibu sababu niliagiza moja kwa moja Japan na Singapore hiyo haiwahusu. Nimefuatilia ilipotoka wananizungusha bila majibu ya kueleweka. Sasa nimeishia kupaki gari sababu haina nguvu na injini inachemsha.
Naomba mnisaidie kama kuna mwenye ushauri wa nini cha kufanya.
Asanteni wakuu.
0752 920 227Unaweza kunisaidia number ya davina ya davina tafadhali kama hutojali kaka...Nakumbuka mara ya kwanza nilitaka kuagiza gari online nikamtuma mtu aende pale ofisini kwao eakaingalia wakakuta ina matatizo wakanitafutia gari nyingine nzuri kabisaa na haikuwa na shida kabisaa....ila kuna mtu nilimuachia amepata nayo ajali inabidi ninunue nyingine tena.....
Asante sana mkuu nashukuru kwa ushauri wako na wala hamna neno kabisaa0752 920 227
kuna mtandao unaitwa 'Every Japan' , huwa wanakuwa na gari chache lakini nyingi ni nzuri na mara nyingi wanaweka kwenye platform yao gari ambazo zinatembea na zina hari nzuri, ila bei zao ziko juu kidogo lakini unapata kilichobora.Ndio hivyo na gari ipo juu ya mawe, inaniumiza sana. Mbaya zaidi Be forward hawakutaka kunisaidia kwa lolote. Imenikatisha sana tamaa ya kutumia Be forward, na sifahamu sana mitandao mingine ambayo ni genuine ya kuagiza magari
Sijawahi kumuamini mbongo kwenye biashara! Labda kinyozi!Wakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na tena Be Forward Tanzania ndio walifanya clearance. Sasa cha ajabu gari imefika inavuja oil, pia imepigwa rangi nyeusi kumbe Original color ilikuwa ni Nyeupe, ikabidi tena ifanyiwe service hapa Tanzania kwenye yard ya Be Forward ndio TBS wakaipitisha.
Lakini gari bado ina matatizo mengi sana ya check engine, rejeta, masega na Engine box. Nimejaribu kufuatilia Be forward Tanzania wananijibu sababu niliagiza moja kwa moja Japan na Singapore hiyo haiwahusu. Nimefuatilia ilipotoka wananizungusha bila majibu ya kueleweka. Sasa nimeishia kupaki gari sababu haina nguvu na injini inachemsha.
Naomba mnisaidie kama kuna mwenye ushauri wa nini cha kufanya.
Asanteni wakuu.
Enhance Auto nao wako vizuri sanakuna mtandao unaitwa 'Every Japan' , huwa wanakuwa na gari chache lakini nyingi ni nzuri na mara nyingi wanaweka kwenye platform yao gari ambazo zinatembea na zina hari nzuri, ila bei zao ziko juu kidogo lakini unapata kilichobora.
Au wananunua Zanzibar ikija hapa haina usajiliSijawahi kumuamini mbongo kwenye biashara! Labda kinyozi!
Hiyo ngoma imenunuliwa hapa hapa bongo! Ni chezo tu limechezwa!