Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake

Tazama Video hizi kwa utulivu

Labda ana pesa za ndagu.

Kuna pesa zingine zina masharti magumu huruhusiwi kuwasaidia ndugu
Ndio maana mi nshakataa sitaki wala sihitaji pesa za kishetani ni za kipumbavu
Hakuna pesa za shetani ndugu Kugawa gawa pesa ni chanzo cha umasikini tafuta pesa kwa jasho lako tamu kuzitumia usililie pesa za mtu mwingine
 
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake

Tazama Video hizi kwa utulivu
Nilisoma comment moja inasema huyu Rehema ni Malaya kaliwa na mumewe Martha hahaha mashemeji buana
 
Nachojua huyo Dada ana abudu katika Giza sio pesa tu anatembelea latest cars .

Ukienda Mbezi Kwa zena anakopanga Simba la masimba utamkuta trip hazikauki .

Inshort huyo anayelalamika aachane na hayo mambo ya kulalamika hizi pesa asione watu wanazo

Kuna hidden sacrifices ambazo sio kila MTU anaweza kufanya .
 
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake

Tazama Video hizi kwa utulivu
Ni kawaida pesa ya dada haitokagi kirahisi hata kama ni ya muhimu mpaka abembelezwe sana wewe kama una dada mwenye pesa nambie hata 10 tu kukupngezea ni ngoma wakati ana drive.

Kisaidia ndugu Yako wa damu ni muhimu sana ukiwa vizuri kiuchumi au kwa connection wengi hapa mnasema si atafute pesa za dada ngumu mbona ma bro wanatupiga tafu sana
 
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake

Tazama Video hizi kwa utulivu
Ukisikia mtoto amsaidii mzazi jua tu huyo mzazi ndiyo MSHENZI AU ALIKUWA MSHENZI.....kamwe mzazi mwema awezi kulilia kusahidiwa na mtoto wake hilo jambo linakuja automatiki kama mzazi alikuwa mwema kwa watoto ....usikute ndiyo wale wazazi wapumbavu wanao kunywa chai ya maziwa na kuwapa watoto wao chai ya rangi au anakunywa chai na chapati watoto anawapa vitumbua na mihogo au analaza watoto wake kwenye mabanda ya kuku yeye anaishi kwenye nyumba nzuri.
 
Back
Top Bottom