Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Ukisikia mtoto amsaidii mzazi jua tu huyo mzazi ndiyo MSHENZI AU ALIKUWA MSHENZI.....kamwe mzazi mwema awezi kulilia kusahidiwa na mtoto wake hilo jambo linakuja automatiki kama mzazi alikuwa mwema kwa watoto ....usikute ndiyo wale wazazi wapumbavu wanao kunywa chai ya maziwa na kuwapa watoto wao chai ya rangi au anakunywa chai na chapati watoto anawapa vitumbua na mihogo au analaza watoto wake kwenye mabanda ya kuku yeye anaishi kwenye nyumba nzuri.
Kuna watu wengi sana hawalijui hili na hawatakubaliana nalo japo la kweli tupu.

Kuna wazazi walizingua sana kipindi wakiwa vijana. Wakitesa watoto wao, wengine waligoma kuwasomesha na hela wakatapanya na malaya na kuzaa hovyo hovyo kama mbwa halafu mwisho wa siku anarejea na kuomba msaada umsaidie yeye mwenyewe na utitiri wa watoto wake umsomeshee. Kwa hali kama hii mimi sisomeshi watoto wa mzee aliyekimbia majukumu na kama alijiona pesa na nguvu anavyo, asomeshe watoto wake nami nitasomesha wa kwangu na ndugu zangu wa mama&baba mmoja.
 
Ndugu hana shukhrani ndio maana wengi husaidia watu baki ila sio ndugu zao
 
Ni kawaida pesa ya dada haitokagi kirahisi hata kama ni ya muhimu mpaka abembelezwe sana wewe kama una dada mwenye pesa nambie hata 10 tu kukupngezea ni ngoma wakati ana drive.

Kisaidia ndugu Yako wa damu ni muhimu sana ukiwa vizuri kiuchumi au kwa connection wengi hapa mnasema si atafute pesa za dada ngumu mbona ma bro wanatupiga tafu sana
Ninae dada yangu ndio mkubwa kwetu. Anamsaidia sana mama tena bila kukumbushwa au kulazimishwa. Kiufupi ana msaada hata kwa sisi wadogo zake..sio mchoyo. Hata kama anacho kidogo atakugaia hicho hicho. Aishi maisha marefu dada yangu.
 
Labda ana pesa za ndagu.

Kuna pesa zingine zina masharti magumu huruhusiwi kuwasaidia ndugu
Ndio maana mi nshakataa sitaki wala sihitaji pesa za kishetani ni za kipumbavu
Hakuna watu wenye pesa ambao hawaoni tu umuhimu wa kusaidia ndugu zao bila sababu za kishirikina?
 
Back
Top Bottom