Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Kuna watu wengi sana hawalijui hili na hawatakubaliana nalo japo la kweli tupu.

Kuna wazazi walizingua sana kipindi wakiwa vijana. Wakitesa watoto wao, wengine waligoma kuwasomesha na hela wakatapanya na malaya na kuzaa hovyo hovyo kama mbwa halafu mwisho wa siku anarejea na kuomba msaada umsaidie yeye mwenyewe na utitiri wa watoto wake umsomeshee. Kwa hali kama hii mimi sisomeshi watoto wa mzee aliyekimbia majukumu na kama alijiona pesa na nguvu anavyo, asomeshe watoto wake nami nitasomesha wa kwangu na ndugu zangu wa mama&baba mmoja.
Ndiyo maana mimi nasema kama ningekuwa Rais basi ningeweka sheria kuwa mtoto hakiua au akipiga mzazi wake hakuna kesi yoyote....maana kabla ya mzazi kupigwa na mtoto wako ni lazima wewe ndiye mpumbavu kabla ya huyo mtoto. Wazazi wengi hawana upendo wa haki kwa watoto wao ...unakuta mzazi ana mdharau mtoto wake ambaye siyo muhalifu kisa tu huyo mtoto bado ajafanikiwa kimaisha ...badala ya kumpa moyo na kushirikiana naye kufanikisha maisha yake yeye anamfanyia dhihaka
 
Kutokusaidia ndugu ata mzazi wako ni dalili pesa zako sio za halali mafanikio hayapo hivyo sio lazima kusaidia ndugu ila ata mama yako pia?
Hawa na mawazo ya hovyo sana, kusaidia mzazi hakufanyi pesa uliyopata kuwa halali. Kuna wauza dawa za kulevya, mafisadi, majambazi na wauaji wanasaidia sana wazazi wao halafu kuna watu wanazipata pesa zao kwa njia na kazi zilizonyooka kabisa lakini hawaoni umuhimu wa kusaidia wazazi wao, tusikariri mambo, dunia imebadilika sana.

Halfu kwa nini mzazi yeye asitafute pesa zake badala yake asubirie pesa za kusaidiwa na watoto wake?
 
Mama zetu Hawa wa kitanzania watatafutaje pesa mkuu unakuta mama umri umeende ana presha ana kisukari doctor anampa ushauri asifanye kazi kulinda afya yake ni wakuonewa huruma tu
 
Huyo mama na yeye atafute pesa zake, kwa maana nao pia huwaambia wengine maneno hayo hayo.
Wanasema hii nyumba tumejenga mimi na mume wangu nyinyi katafuteni vya kwenu ila mtoto akiwa na mali jamii inamlaani kuwa kwanini awajengei nyumba nzuri wazazi wake ...kwa hiyo mtoto kuwajengea nyumba wazazi wake ni haki ila mtoto hata kuishi kwenye nyumba ya wazazi ni haramu sembuse kujengewa nyumba na wazazi ...kama ni jambo jema mtoto kumjengea nyumba mzazi wake kwanini isiwe ni jambo jema mzazi kuwa jengea nyumba watoto wake ?
HAPO NDIPO UTAKAPO JUA KUWA WAZAZI WA KIAFRICA WANA LAANA.
 
Kuna watu wengi sana hawalijui hili na hawatakubaliana nalo japo la kweli tupu.

Kuna wazazi walizingua sana kipindi wakiwa vijana. Wakitesa watoto wao, wengine waligoma kuwasomesha na hela wakatapanya na malaya na kuzaa hovyo hovyo kama mbwa halafu mwisho wa siku anarejea na kuomba msaada umsaidie yeye mwenyewe na utitiri wa watoto wake umsomeshee. Kwa hali kama hii mimi sisomeshi watoto wa mzee aliyekimbia majukumu na kama alijiona pesa na nguvu anavyo, asomeshe watoto wake nami nitasomesha wa kwangu na ndugu zangu wa mama&baba mmoja.
Mkuu hapa umenigusa sanaaa, tuna digi yetu anatabia kama hii.
 
Ni kawaida pesa ya dada haitokagi kirahisi hata kama ni ya muhimu mpaka abembelezwe sana wewe kama una dada mwenye pesa nambie hata 10 tu kukupngezea ni ngoma wakati ana drive.

Kisaidia ndugu Yako wa damu ni muhimu sana ukiwa vizuri kiuchumi au kwa connection wengi hapa mnasema si atafute pesa za dada ngumu mbona ma bro wanatupiga tafu sana
Pesa ya dada haitokagi? Nani kakuambia?
 
Nje ya mada...
Inakuaje mtu anaombewa kila siku na wachungaji mbalimbali mapepo yanalipuka? Ni kwamba hao watumishi hawana uwezo wa kutoa mapepo au ni kitu gani?
Tatizo ni huyo anayeripuka Mapepo...!
 
Back
Top Bottom