Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
Huyo mama na yeye atafute pesa zake, kwa maana nao pia huwaambia wengine maneno hayo hayo.Fedha ni zake au za urithi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mama na yeye atafute pesa zake, kwa maana nao pia huwaambia wengine maneno hayo hayo.Fedha ni zake au za urithi?
Ndugu wapuuzi sana sometimes.Ila usisahau pia, ukiwa huna kitu ndugu wanakutenga, Ukipata wanasema UMEWATENGA,..
Kutokusaidia ndugu ata mzazi wako ni dalili pesa zako sio za halali mafanikio hayapo hivyo sio lazima kusaidia ndugu ila ata mama yako pia?Hakuna watu wenye pesa ambao hawaoni tu umuhimu wa kusaidia ndugu zao bila sababu za kishirikina?
Ndiyo maana mimi nasema kama ningekuwa Rais basi ningeweka sheria kuwa mtoto hakiua au akipiga mzazi wake hakuna kesi yoyote....maana kabla ya mzazi kupigwa na mtoto wako ni lazima wewe ndiye mpumbavu kabla ya huyo mtoto. Wazazi wengi hawana upendo wa haki kwa watoto wao ...unakuta mzazi ana mdharau mtoto wake ambaye siyo muhalifu kisa tu huyo mtoto bado ajafanikiwa kimaisha ...badala ya kumpa moyo na kushirikiana naye kufanikisha maisha yake yeye anamfanyia dhihakaKuna watu wengi sana hawalijui hili na hawatakubaliana nalo japo la kweli tupu.
Kuna wazazi walizingua sana kipindi wakiwa vijana. Wakitesa watoto wao, wengine waligoma kuwasomesha na hela wakatapanya na malaya na kuzaa hovyo hovyo kama mbwa halafu mwisho wa siku anarejea na kuomba msaada umsaidie yeye mwenyewe na utitiri wa watoto wake umsomeshee. Kwa hali kama hii mimi sisomeshi watoto wa mzee aliyekimbia majukumu na kama alijiona pesa na nguvu anavyo, asomeshe watoto wake nami nitasomesha wa kwangu na ndugu zangu wa mama&baba mmoja.
Wanaccn haoPesa walimpa mtaji au walimkopesha? Waafrica sisi hamnazo kweli unaenda kwenye media kulilia hela za mtu mwingine
Hawa na mawazo ya hovyo sana, kusaidia mzazi hakufanyi pesa uliyopata kuwa halali. Kuna wauza dawa za kulevya, mafisadi, majambazi na wauaji wanasaidia sana wazazi wao halafu kuna watu wanazipata pesa zao kwa njia na kazi zilizonyooka kabisa lakini hawaoni umuhimu wa kusaidia wazazi wao, tusikariri mambo, dunia imebadilika sana.Kutokusaidia ndugu ata mzazi wako ni dalili pesa zako sio za halali mafanikio hayapo hivyo sio lazima kusaidia ndugu ila ata mama yako pia?
Hili ni tatizo kubwa sana la wamatumbiWamatumbi huwa tunaonaga kama kupata msaada kutoka kwa ndugu ni haki yetu.
Akili na mawazo ya kifukara. Pole sana.Labda ana pesa za ndagu.
Kuna pesa zingine zina masharti magumu huruhusiwi kuwasaidia ndugu
Ndio maana mi nshakataa sitaki wala sihitaji pesa za kishetani ni za kipumbavu
Mno mkuu.Hili ni tatizo kubwa sana la wamatumbi
Mama zetu Hawa wa kitanzania watatafutaje pesa mkuu unakuta mama umri umeende ana presha ana kisukari doctor anampa ushauri asifanye kazi kulinda afya yake ni wakuonewa huruma tuHawa na mawazo ya hovyo sana, kusaidia mzazi hakufanyi pesa uliyopata kuwa halali. Kuna wauza dawa za kulevya, mafisadi, majambazi na wauaji wanasaidia sana wazazi wao halafu kuna watu wanazipata pesa zao kwa njia na kazi zilizonyooka kabisa lakini hawaoni umuhimu wa kusaidia wazazi wao, tusikariri mambo, dunia imebadilika sana.
Halfu kwa nini mzazi yeye asitafute pesa zake badala yake asubirie pesa za kusaidiwa na watoto wake?
Wanasema hii nyumba tumejenga mimi na mume wangu nyinyi katafuteni vya kwenu ila mtoto akiwa na mali jamii inamlaani kuwa kwanini awajengei nyumba nzuri wazazi wake ...kwa hiyo mtoto kuwajengea nyumba wazazi wake ni haki ila mtoto hata kuishi kwenye nyumba ya wazazi ni haramu sembuse kujengewa nyumba na wazazi ...kama ni jambo jema mtoto kumjengea nyumba mzazi wake kwanini isiwe ni jambo jema mzazi kuwa jengea nyumba watoto wake ?Huyo mama na yeye atafute pesa zake, kwa maana nao pia huwaambia wengine maneno hayo hayo.
Mkuu hapa umenigusa sanaaa, tuna digi yetu anatabia kama hii.Kuna watu wengi sana hawalijui hili na hawatakubaliana nalo japo la kweli tupu.
Kuna wazazi walizingua sana kipindi wakiwa vijana. Wakitesa watoto wao, wengine waligoma kuwasomesha na hela wakatapanya na malaya na kuzaa hovyo hovyo kama mbwa halafu mwisho wa siku anarejea na kuomba msaada umsaidie yeye mwenyewe na utitiri wa watoto wake umsomeshee. Kwa hali kama hii mimi sisomeshi watoto wa mzee aliyekimbia majukumu na kama alijiona pesa na nguvu anavyo, asomeshe watoto wake nami nitasomesha wa kwangu na ndugu zangu wa mama&baba mmoja.
Pesa ya dada haitokagi? Nani kakuambia?Ni kawaida pesa ya dada haitokagi kirahisi hata kama ni ya muhimu mpaka abembelezwe sana wewe kama una dada mwenye pesa nambie hata 10 tu kukupngezea ni ngoma wakati ana drive.
Kisaidia ndugu Yako wa damu ni muhimu sana ukiwa vizuri kiuchumi au kwa connection wengi hapa mnasema si atafute pesa za dada ngumu mbona ma bro wanatupiga tafu sana
Pesa si ni za kwake?Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake
Tazama Video hizi kwa utulivu
Tatizo ni huyo anayeripuka Mapepo...!Nje ya mada...
Inakuaje mtu anaombewa kila siku na wachungaji mbalimbali mapepo yanalipuka? Ni kwamba hao watumishi hawana uwezo wa kutoa mapepo au ni kitu gani?
Wakina dada ni watu wema sana. Madada Hawanaga baya.Ninae dada yangu ndio mkubwa kwetu. Anamsaidia sana mama tena bila kukumbushwa au kulazimishwa. Kiufupi ana msaada hata kwa sisi wadogo zake..sio mchoyo. Hata kama anacho kidogo atakugaia hicho hicho. Aishi maisha marefu dada yangu.