Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Watu wamekazania tu masharti "wanawake huwa hawapendani" ya kaisari mpe kaisari ya Mungu mpe Mungu

👉basi tajiri mmoja akauliza nifanye nini il niuone ufalme wa Mungu kwa maana amri zote kumi nazifuata bwana yesu akajibu kagawie mali zako zote masikini kisha uambatane namimi. Kwa maana ni ngumu kutumkia wafalme wawili
 
Mimi nimesaidiwa na bro kwa 90 percent wakati dada alianza KUFANIKIWA kabla ya bro msaada wake mpaka asikie mama kalemewa ndo anafanya kisaidia mpaka aambiwe na Maza enzi hizo ukimfatandirect ni ngoma labda kwenu hakuna mabro
Bro wapo ila nashukuru wazazi wetu kuna namna wametulea kubebana ila dada kwetu alikuwa msaada mkubwa sana
 
Watu wamekazania tu masharti "wanawake huwa hawapendani" ya kaisari mpe kaisari ya Mungu mpe Mungu

👉basi tajiri mmoja akauliza nifanye nini il niuone ufalme wa Mungu kwa maana amri zote kumi nazifuata bwana yesu akajibu kagawie mali zako zote masikini kisha uambatane namimi. Kwa maana ni ngumu kutumkia wafalme wawili
Utajiri unaokataliwa na Mungu ni ule utajiri chimbuko lake linakuwa na makafara ndani yake utajiri huu unapingana na amri ya YESU ya kutembea na Upendo mtu anaweza kuwa na mali nyingi lakini za masharti haruhusiwi kusaidia watu ndio mana Yesu alikuwa akiwaambia watu hao wagawie mali zao masikini ili waone ufalme sio kila tajiri kapata pesa kwa makafara au kuabudu mizimu
 
Wasinge wahudumia ninyi watoto mngeenda ustawi kudai haki zenu leo wazee wenu nguvu zimeisha hawawezi tena kutafuta pesa kama zamin wakiwaomba mnaona mnanyonywa hudumia wazazi wako kama wao walivyo kuhudumia au wewe walikuacha ukale kwa jirani kila siku? Si mzazi uyo uyo alijinyima ili wewe uwe na furaha ? Muwe na aibu ata kidgo
Hapo ndiyo unapaswa kutambua kuwa yeye kukuhudumia wewe ni wajibu wake wa msingi na kutokufanya hivyo ni kosa kisheria, ila wewe kumuhudumia yeye hiyari na hakuna mamlaka ya kisheria inayoweza kukushurutisha kwa kutokumuhudumia mzazi.
Kwahiyo acha kubweteka ukaja kuwa mzigo kwa uzao wako eti kisa wewe uliwahudumia katika utoto wao, hiyo siyo hisani ni wajibu wako wa msingi maana watotot hawakukuandikia barua kuomba uwazae
 
Huyo binti amefanya makosa 03
Kulilia hela ambazo sio Zane
Kuhubiri chuki kanisani
Kuongea uongo
Uongu upi alio ongea?

Chuki ipi kaongea?

Nachojua ajalilia pesa ila kakosa namna ya kufikisha ujumbe alishindwa kupangilia ila lengo kuu ni kuwa martha asaidie familia pia
 
Pesa walimpa mtaji au walimkopesha? Waafrica sisi hamnazo kweli unaenda kwenye media kulilia hela za mtu mwingine
Michango mingi humu siyo ya kilichoongelewa na mdogo mtu bali ni maisha yao wao ya kila siku ndiyo wanayoitumbukiza kwenye wanachoita kuchangia.
Pesa walimpa mtaji au walimkopesha? Waafrica sisi hamnazo kweli unaenda kwenye media kulilia hela za mtu mwingine
 
Hapo ndiyo unapaswa kutambua kuwa yeye kukuhudumia wewe ni wajibu wake wa msingi na kutokufanya hivyo ni kosa kisheria, ila wewe kumuhudumia yeye hiyari na hakuna mamlaka ya kisheria inayoweza kukushurutisha kwa kutokumuhudumia mzazi.
Kwahiyo acha kubweteka ukaja kuwa mzigo kwa uzao wako eti kisa wewe uliwahudumia katika utoto wao, hiyo siyo hisani ni wajibu wako wa msingi maana watotot hawakukuandikia barua kuomba uwazae
Sawa ila ndio fahari yenu kuona wazee wenu wakisaidiwa na ndugu wa mbali wakati wamezaa watoto na wanajiweza?

Acheni ubinafsi hudumia wazee wako kuwa na moyo wa shukrani
 
Michango mingi humu siyo ya kilichoongelewa na mdogo mtu bali ni maisha yao wao ya kila siku ndiyo wanayoitumbukiza kwenye wanachoita kuchangia.
Wengi humu wabinafsi na wametelekeza wazazi wao vijini uko uku mjini wanajinadi kuwa wanapesa wapumbavu wakubwa wanatia haista
 
Actually watoto wa kike siku hizi ndiyo wanajali sana wazee wao kuliko hata wa kiume. Na hii haijalishi kama hao wazazi wana pesa ama la! Nina mifano mingi sana.

Mabinti mna mioyo mizuri sana; na kama mzazi ulikuwa mwema kwao na wakaona jinsi ulivyokuwa unampenda mama yao, wala hawana figisu kabisa. Daughters are the best!
Kweli mkuu
 
Mtu anagoma kumsaidia mzazi wake kisa alimuacha baba yake au mama yake wakati uhi ujui reason ni ipi huyo mama unae acha msaidia angeamua kukua siku unatoka duniani leo iko kibuli ungepata wapi
Ndo hapo Sasa...Yan ukishazaliwa hutakiw kuwa na lawama tena...kitendo Cha yeye kuwa hai mpk Sasa hivi kinatosha tu kumshukuru Mungu pamoja na mama yake...michango mingi nlioona huku inadhiirisha ni namna Gani watu hawathamini wazazi...jambo la kusikitisha sanaa
 
Sawa ila ndio fahari yenu kuona wazee wenu wakisaidiwa na ndugu wa mbali wakati wamezaa watoto na wanajiweza?

Acheni ubinafsi hudumia wazee wako kuwa na moyo wa shukrani
Tafuta na taarifa upande wa pili kuona ukweli uko vipi. Tambua kuna baadhi ya wazazi huwa ni ceremonial, yaani amekuwa mzazi katika kukutengeneza tu kibaiolojia lakini hakuwahi kuwa sehemu ya mafanikio ya watoto wao na hawa ndiyo wengi huja kulalamikia watoto wao baadaye baada ya watoto kupambana kivyao kufikia mafanikio yao
 
Wengi humu wabinafsi na wametelekeza wazazi wao vijini uko uku mjini wanajinadi kuwa wanapesa wapumbavu wakubwa wanatia haista
Inasikitisha sanaa...mtu Kijiji kwao ana mwaka wa 10 hajawahi kanyaga...ni kula tu starehe na kufanya show off mjini..mwsho wa siku yakikufika unashindwa pa kushika cz nyumban hata nyumban yenyew unakuta ni ile inauliza niue au niache?
 
Ndo hapo Sasa...Yan ukishazaliwa hutakiw kuwa na lawama tena...kitendo Cha yeye kuwa hai mpk Sasa hivi kinatosha tu kumshukuru Mungu pamoja na mama yake...michango mingi nlioona huku inadhiirisha ni namna Gani watu hawathamini wazazi...jambo la kusikitisha sanaa
Ni aibu hasa watoto wakiume ndio wameshikilia uho msimamo sijui kwanini watu wanshindwa kutafakari
 
Nachojua huyo Dada ana abudu katika Giza sio pesa tu anatembelea latest cars .

Ukienda Mbezi Kwa zena anakopanga Simba la masimba utamkuta trip hazikauki .

Inshort huyo anayelalamika aachane na hayo mambo ya kulalamika hizi pesa asione watu wanazo

Kuna hidden sacrifices ambazo sio kila MTU anaweza kufanya .
Unamaanisha Martha mwaipaja
 
Ni kawaida pesa ya dada haitokagi kirahisi hata kama ni ya muhimu mpaka abembelezwe sana wewe kama una dada mwenye pesa nambie hata 10 tu kukupngezea ni ngoma wakati ana drive.

Kisaidia ndugu Yako wa damu ni muhimu sana ukiwa vizuri kiuchumi au kwa connection wengi hapa mnasema si atafute pesa za dada ngumu mbona ma bro wanatupiga tafu sana
Walizaliwa wakiume tupu wanaweza wasikuelewe kabisaa
 
Tafuta na taarifa upande wa pili kuona ukweli uko vipi. Tambua kuna baadhi ya wazazi huwa ni ceremonial, yaani amekuwa mzazi katika kukutengeneza tu kibaiolojia lakini hakuwahi kuwa sehemu ya mafanikio ya watoto wao na hawa ndiyo wengi huja kulalamikia watoto wao baadaye baada ya watoto kupambana kivyao kufikia mafanikio yao
Ulitaka awe katika sehemu ipi katika mafanikio yako

Jambo la wewe kuwa hai mpaka leo ukimtoa Mungu mzazi kachangia wewe upo mdogo mpaka unajitambua na kujua zuri na baya nani alikufanya ujue hili baya na hili zuri?

Chakula ulikuwa unaletewa na hao unao waona wana msaada katika mafanikio yako?

Ungekuwa huna afya mzuri je wangekupenda? Fikirielni
 
Back
Top Bottom