Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio nyumba tu kila mtu anamkimbia kakaza kuwashibiaha marafiki walio kutana kariakooInasikitisha sanaa...mtu Kijiji kwao ana mwaka wa 10 hajawahi kanyaga...ni kula tu starehe na kufanya show off mjini..mwsho wa siku yakikufika unashindwa pa kushika cz nyumban hata nyumban yenyew unakuta ni ile inauliza niue au niache?
Ndio maana mm napinga watu humu wanamtetea martha tu lakini anacho kiongea uyo bite ni sahihiTuhuma nilizosoma sehemu kuhusu huyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wake zinasikitisha sana, kama ni kweli, Mungu awahurumie!
Kamsikilize Vanessa Mdee utaelewa zaidiMaelezo take yana loose ends kibao
Ilete kidogo hata kwa codeHuwa nikisikia mtu wa Mbeya,Makambako,Njombe amefanikiwa kiuchumi wakati katokea kwenye umasikini wa kutisha huwa nakuwa na mashaka nao sana,mnisamehe watu wa huko,nina mifano japo michache....
Amjamuelewa anachomaanisha ni kwamba martha amsaidie mama yake yeye kufikia pale haitaji msaada wake ila mama yake amsaidieKitendo tu cha kumtangaza kinadhihirisha wazi ninyi (ndugu) ndo mna matatizo. Muacheni Martha aishi maisha yake. Hajabeba mikono yenu so kuwasaidia siyo lazima.
Napo pia sio lazima amsaidie.. kusaidia ni hiari ya mtu na sio kulazimishwa na kusema vitu kwenye social media, wapo watu kibao hawasaidii hao wazazi wao. Mtu hufanya kitu kwa msukumo wa kutoka ndani ya moyo wake na sio kelele za watu wa nje.Amjamuelewa anachomaanisha ni kwamba martha amsaidie mama yake yeye kufikia pale haitaji msaada wake ila mama yake amsaidie
Amesema hamsaidii mama Yake ,yeye ajajigusa kuna hoja azingatiweNimeshangaa sana watu humu wanampika Beatrice na kumwambia aache kulilia pesa za dada yake wakati Beatrice analia dada yake anauwezo mkubwa ila hamsaidii mama yake mzazi.
Kama Beatrice anasema ukweli (sidhani kama anaweza kudanganya katika hili) basi Martha ana tatizo au kuna tatizo sehemu.
Na wewe ni mmoja wao uliotelekeza wazazi wako kwakivuli sio lazimaNapo pia sio lazima amsaidie.. kusaidia ni hiari ya mtu na sio kulazimishwa na kusema vitu kwenye social media, wapo watu kibao hawasaidii hao wazazi wao. Mtu hufanya kitu kwa msukumo wa kutoka ndani ya moyo wake na sio kelele za watu wa nje.
Atakama wanatakiwa kuwasadia wazazi wao wakumbuke walikotokaAmesema hamsaidii mama Yake ,yeye ajajigusa kuna hoja azingatiwe
Hapo na ww unakosea ,Dingi ana vyanzo vingi how??,Wakiume nao ni wakusaidia pia maana hawana pakujiteteaJambo la kushangaza sanaa...Bora hata dingi cz yy ana namna nyingi za kujiongeza...ila Maza hapana aysee
Unataka kusema uyo mwanamuziki kala uyu mamaNachojua huyo Dada ana abudu katika Giza sio pesa tu anatembelea latest cars .
Ukienda Mbezi Kwa zena anakopanga Simba la masimba utamkuta trip hazikauki .
Inshort huyo anayelalamika aachane na hayo mambo ya kulalamika hizi pesa asione watu wanazo
Kuna hidden sacrifices ambazo sio kila MTU anaweza kufanya .
Hapo anajenga au anabomoa?hili suala la ku motivate watu huku ukijidhalilisha sasa linashika kasi,waafrika ni waafrika hawawezi kuwa wazungu na wazungu vivyo hivyo nguvu ya asili kuikwepa itatugharimu.Martha ana makosa lakini kujianika hivyo sio tiba.Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake
Tazama Video hizi kwa utulivu
View attachment 3178592
View attachment 3178593