Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Inasikitisha sanaa...mtu Kijiji kwao ana mwaka wa 10 hajawahi kanyaga...ni kula tu starehe na kufanya show off mjini..mwsho wa siku yakikufika unashindwa pa kushika cz nyumban hata nyumban yenyew unakuta ni ile inauliza niue au niache?
Sio nyumba tu kila mtu anamkimbia kakaza kuwashibiaha marafiki walio kutana kariakoo
 
Kitendo tu cha kumtangaza kinadhihirisha wazi ninyi (ndugu) ndo mna matatizo. Muacheni Martha aishi maisha yake. Hajabeba mikono yenu so kuwasaidia siyo lazima.
Amjamuelewa anachomaanisha ni kwamba martha amsaidie mama yake yeye kufikia pale haitaji msaada wake ila mama yake amsaidie
 
Amjamuelewa anachomaanisha ni kwamba martha amsaidie mama yake yeye kufikia pale haitaji msaada wake ila mama yake amsaidie
Napo pia sio lazima amsaidie.. kusaidia ni hiari ya mtu na sio kulazimishwa na kusema vitu kwenye social media, wapo watu kibao hawasaidii hao wazazi wao. Mtu hufanya kitu kwa msukumo wa kutoka ndani ya moyo wake na sio kelele za watu wa nje.
 
Nimeshangaa sana watu humu wanampika Beatrice na kumwambia aache kulilia pesa za dada yake wakati Beatrice analia dada yake anauwezo mkubwa ila hamsaidii mama yake mzazi.

Kama Beatrice anasema ukweli (sidhani kama anaweza kudanganya katika hili) basi Martha ana tatizo au kuna tatizo sehemu.
Amesema hamsaidii mama Yake ,yeye ajajigusa kuna hoja azingatiwe
 
Napo pia sio lazima amsaidie.. kusaidia ni hiari ya mtu na sio kulazimishwa na kusema vitu kwenye social media, wapo watu kibao hawasaidii hao wazazi wao. Mtu hufanya kitu kwa msukumo wa kutoka ndani ya moyo wake na sio kelele za watu wa nje.
Na wewe ni mmoja wao uliotelekeza wazazi wako kwakivuli sio lazima
 
Shida ndugu huwa tunajipa haki sana ya msaada kutoka kwa ndugu wa damu waliofanikiwa na tunachukia wakisaidia wengine huku tunajisahau kuwa karibu na hao ndugu waliofanikiwa (namaanisha hata kama ni ndugu yake mfanye kuwa rafiki na kujiweka katika position ya kusaidiwa endapo utaonekana unahitaji msaada na sio tu Kujipa haki tu ya ndugu)
 
Nachojua huyo Dada ana abudu katika Giza sio pesa tu anatembelea latest cars .

Ukienda Mbezi Kwa zena anakopanga Simba la masimba utamkuta trip hazikauki .

Inshort huyo anayelalamika aachane na hayo mambo ya kulalamika hizi pesa asione watu wanazo

Kuna hidden sacrifices ambazo sio kila MTU anaweza kufanya .
Unataka kusema uyo mwanamuziki kala uyu mama
 
All great artist surfer, mtu hauwezi kutengeneza art kubwaa kama hamna jeraha kubwaa sana moyoni lisiloponyeka.
Sasa nimejua siri ya kipaji kikubwa alichonacho Martha, yeye kama wasanii wengine wakubwa katika mnyororo wa maumivu na maruwe ruwe ya kila hali. Ila kwa hili pigo kutoka kwa Mdogo wake wa damu SIJUI kama atabaki salama kiakili na kiroho. Hii jambo laweza kummaliza au kumfanya awe imara zaidi.

Hili suala ni Kama Diamond ambavyo wabaya wake kila kukicha wakitaka ajimalize kwa kumsaidia babaake aliyemzaa, wakati bado anauguliza KIDONDA chake moyoni cha kutelekezwa.

Pole sana Martha.
 
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake

Tazama Video hizi kwa utulivu

View attachment 3178592
View attachment 3178593
Hapo anajenga au anabomoa?hili suala la ku motivate watu huku ukijidhalilisha sasa linashika kasi,waafrika ni waafrika hawawezi kuwa wazungu na wazungu vivyo hivyo nguvu ya asili kuikwepa itatugharimu.Martha ana makosa lakini kujianika hivyo sio tiba.
 
Back
Top Bottom