Huyo Dada ni negative person .
Nguvu anayoitumia kuchukia watu ndo inamrudisha nyuma .
Mali
Fedha
Umaarufu
Vyote hivi vinaweza kupatikana na pia unaweza kuvipoteza .
Mambo Kama
Nyumba
Gari
N.k
Ni man made na hupitwa na wakati according to the time and place .
Angefikiria kuhusu Invisible things Kama Love , compassion, kindness and so on.
Anaweza kuwa amekosa washauri wazuri , maana binafsi nimemuona Kama MTU ambaye hajakomaa , kiakili , kiufahamu .
Kumfanya MTU kuwa bread winner sio jambo jepesi .
Angalie Dada yake how she is made it then na yeye ajifunze chuki itamdidimiza zaidi ya hapo.