Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Husuda kali inamsumbua huyo Mdogo mtu hana lolote!
Yatamshinda.
Hadi ufanye kusema Eti anawndesha gari la milioni 100 ?!
Husuda kali sana na asipoangalia ataumwa sana huyo Mdogo mtu.
 
Kuna ndugu anaweza kuwa wa tumbo moja lakini akawa ni mtesi na adui kwako.
Moyo wa mtu kichaka
 
Kumeanza kuchangamka 🤣 🤣 “Jina lake sio Joan mwaipaja bali ni Joan Martin Mkwizu na hizi hapa nipicha akiwa na Baba yake na Mama yake Mzazi kabla hajabadirisha wazazi”😂😂 Ameandika — Catherine octavian🙌🏻
FB_IMG_1734454392503.jpg
 
Ndugu wa hivyo hata nyumbani kwako usimlaribishe maana atakuja kuanza kuthaminisha maisha mnayoishi na kitanga ili mrogwe mharibiwe
 
Martha ni mwanamke ameona hiyo gari jina la card ya umiliki ni ya Martha ??
Je kama ni ya Mchumba au mume wake ?!
Moyo wa Mdogo wake unaungulika.
 
Huyo Dada ni negative person .
Nguvu anayoitumia kuchukia watu ndo inamrudisha nyuma .

Mali
Fedha
Umaarufu

Vyote hivi vinaweza kupatikana na pia unaweza kuvipoteza .

Mambo Kama
Nyumba
Gari

N.k

Ni man made na hupitwa na wakati according to the time and place .

Angefikiria kuhusu Invisible things Kama Love , compassion, kindness and so on.

Anaweza kuwa amekosa washauri wazuri , maana binafsi nimemuona Kama MTU ambaye hajakomaa , kiakili , kiufahamu .

Kumfanya MTU kuwa bread winner sio jambo jepesi .

Angalie Dada yake how she is made it then na yeye ajifunze chuki itamdidimiza zaidi ya hapo.
 
Sijui nina ugonjwa ama nini huwa sisikilizi kabisa mwanamke akiongea huku akiwa analia hata kama na issue ya muhimu nitamwambia kwa sasa una hasira sana kaa utulie uniambie vizuri.Wengi wao ni waongo hicho kilio ni igizo tu hata huyu nimesikiliza mwisho sekunde 7 nikashindwa
 
Martha ni mwanamke ameona hiyo gari jina la card ya umiliki ni ya Martha ??
Je kama ni ya Mchumba au mume wake ?!
Moyo wa Mdogo wake unaungulika.
Umemfwatilia martha mda mrefu yule ana shida au nisema ana maumivu ya ndani yule anaimbaga nyimbo za malalamiko peekeee
 
Mkuu Saint Anne pitia mtaa huu upate mawili matatu.

-Kaveli-
Mkuu Kaveli
Hii habari toka alfajiri nimeiona inatrend sana.

Ninachoweza kusema ni kwamba
Wao ni barua na kielelezo kwa jamii, Kama watumishi wa Mungu na ndugu wa familia Moja, wakae wamalize tofauti zao... kulialia mtandaoni bila kutafuta suluhu ni kupoteza muda.

Mungu wa amani na awape amani, aondoe ugomvi kati yao.
 
"Dada yangu anatembelea gari la million mia..."

Zengwe lilianzia hapo. 😎

-Kaveli-
Btw, Mimi ni fan wa sauti ya Beatrice Mwaipaja kuliko Martha.
Ana sauti nzuri mno nzito kuliko dada yake..

...........
Beatrice anasema kwamba Dada yake hamsaidii mama yake
Badala ya kulialia, anatakiwa yeye Amsaidie mama yake huku akiendelea kumuombea Dada yake neema ya Mungu ya kuona umuhimu wa kumthamini mzazi.
...
Shetani amejiinua
Ni jukumu lao kumshinda.

Mwivi haji bali kuvunja kuharibu na kuteketeza...
Wasipoangalia, ugomvi wao utafika pabaya zaidi, na ndio target ya shetani.
Wanapaswa waushinde ubaya kwa wema.
.....
 
Kushaanza kuchangamka...kumbe hata anaijifanya ni mwanae kumbe sie ...kuna watu walikuwa wanaona huyo Beatrice anafanya nongwa ila ukwel utajulikana tu
 
Back
Top Bottom