Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Joe Biden ametimba Camp David kinafiki kwa mapumziko ya Christmas; masikitiko yake kulikoni Iran hajichanganyi Gaza?

2. Kwenye simu yake na Natenyahu kabla ya kuelekea mapumzikoni, amempa Natenyahu baraka zote: "kazi iendelee, Mungu si Athumani."

3. Kwake yeye, kila shambulizi dhidi ya Israeli mtuhumiwa awe Iran, mwenye tuhuma yeye; alipo subira yavuta kheri:







4. Wenye kuyafanya mashambulizi wanathibitisha, ila mwenye lake jambo sasa:





5. Pole yao wapalestina, mchawi marekani; Israel kama paka huyo katumwa tu, wao ni mbagusilo, mlengwa ni Iran.

6. Wanafiki wameamua kufunika kombe mwanao kharamu apite.

7. #6 Hapo, yaani kila mtu na apambane na hali yake.

8. Ila ukweli mchungu:

 
Hakuna ambae anataka kuingia vitani na Iran direct! Sio Marekani wala sio Israel na sababu kuu na hasara itakayopatikana kutokana na vita hiyo!

Mossad kwa kushirikiana CIA walikuwa wanauwaua sana wataalam wa Nuclear wa Iran kwa kutengeneza mashambulizi ya kigaidi ndani ya Iran! Kuna siku uliwahi kusikia Mossad akikiri kuhusika? Au Marwkani akiliri kuhusika? Basi hakuna anaetaka vita kamili na Iran.
 
Ilianzishwa na imani yao ya kuua kama chanzo cha kutafuta suluhu (jihads).
Acha Propaganda, muanzilishi wa HAMAS ni Israel, sema viongozi wa Hamas baadae walielewa lengo la Israel ni nini wakamgeuka slave master, kwahio acha apambane nao maana kawachonga mwenyewe Kwa ajili yakupambana na FPM, ilivyokua inaongozwa na Arafat Sasa leo anakunywa kikombe chake mwenyewe.
 
Hiyo hamas kama aliitengeneza Israel mbona wakiteka raia wapalestina wanashangilia na Israel akiwaua mnalia? au hamuelewi yupi ni yupi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…