Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

1. Joe Biden ametimba Camp David kinafiki kwa mapumziko ya Christmas; masikitiko yake kulikoni Iran hajichanganyi Gaza?

2. Kwenye simu yake na Natenyahu kabla ya kuelekea mapumzikoni, amempa Natenyahu baraka zote: "kazi iendelee, Mungu si Athumani."

3. Kwake yeye, kila shambulizi dhidi ya Israeli mtuhumiwa awe Iran, mwenye tuhuma yeye; alipo subira yavuta kheri:

View attachment 2851314

View attachment 2851315

View attachment 2851316

4. Wenye kuyafanya mashambulizi wanathibitisha, ila mwenye lake jambo sasa:

View attachment 2851317

View attachment 2851320

5. Pole yao wapalestina, mchawi marekani; Israel kama paka huyo katumwa tu, wao ni mbagusilo, mlengwa ni Iran.

6. Wanafiki wameamua kufunika kombe mwanao kharamu apite.

7. #6 Hapo, yaani kila mtu na apambane na hali yake.

8. Ila ukweli mchungu:

View attachment 2851323
Tumia akili nyuma ya iran yuoo mrussi
 
Halafu leo hii hao hao hamas waliotengenezwa na Israel wanakujavamia Israel kuua na kuteka raia kisha kuanza kuwaua askali wa Israel walioingia gaza [emoji848][emoji848]

Bonge moja la movie [emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa usicho kielewa ni kitu gani hapo au ndo mmezaliwa kuwa wabishi?

Mbona Marekani alimsaidia Osama kupambana na Usoviet nchini Afghanistan na badae wakageuka kuwa maadui?

Hivi kwa uadui uliopo kati ya Iran na Marekani na Israel ,alafu ukaambiwa kuwa miaka 40 iliyo pita mataifa hayo yalikuwa marafiki una weza amini?

Mbona sadam ali saidiwa na Marekani kupigana na Iran lakini sadamu akaja kuuliwa na Marekani hao hao?

Hiyo ni siasa na siasa huwa ni masilahi yanaangaliwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mrusi hayupo nyuma ya Iran peke yake, yaliwakuta Iraq, Libya, Syria na wengi pia.
Uko Russia ali tia mkono ? Russia alivyo tia mkono Syria kuna mbwa yoyote alie furukuta ? Russia alivyo tia mkono Venezuela kuna West yoyote alie endelea kupiga kelele, tena Venezuela alituma bomber moja tu Tupolev Tu-160..west wote waka mute
 
1. Mkuu Syria kaanza midundano na mabeberu muda tangia Assad Sr.

2. Hapa alipo Assad jr, leo akiwa kachoka mno kwenye machweo.

3. Syria original asingekuwa mtazamaji kwenye kadhia hii sasa Gaza.

4. Kulikoni Iran kuendelea kuwa mtazamaji Gaza kama mrusi yupo?
 
Mnafurahisha sana watu msio na clue za siasa za west na serikali ya USA. Kama ungekuwa na akili za kuepuka west medias zilizobased on propaganda na kuchukua taarifa kutoka kwenye vyanzo makini ikiwemo raia wenyewe.

Ungegundua kwamba wananchi wa USA ni watu kama wewe wanaofanya kazi kwa nguvu na kula kwa jasho na tax juu. Kwa sasa asillimia kubwa ya wananchi wanapinga nchi yao kushuhulika na matatizo na vita zisizowahusu. Yale mabilioni ya aids yanawakandamiza vya kutosha na wanaumia kuona kodi zao zinatumika kushughulika na na mambo ya wengine badala ya nchi yao. It's not all heaven in the west kama mnavyodhani na sio kila mzungu ni tajiri. This is a pathetic piece of a cheap of propaganda. Wenyewe wanasema "Play stupid games, win stupid prizes. Don't start a war you can't finish and everyone should deal with their own problems."

Alafu cha mwisho karibu nchi nzima ya Marekani inampuuza Biden. Wanamuita sleepy joe for a reason. Kama unadhani Biden ni mtu wa maana mwenye akili basi akili zako zinatia mashaka. Biden sio beberu, he's a fukking sheep.
 
Hii dunia haiwezi kutulia as long mtaendelea kuzalisha magaidi
Ni mtu mjinga tu anayefikiri ugaidi unazalishwa na uislamu.wenye akili wanajua ugaidi unatengenezwa na Marekani ili kuleta instability.ili kutawala vizuri maeneo mbalimbali kwa sababu watu wakiwa wamoja ni vigumu kuwatawala.Mfano ukifuatilia vizuri hata osama alikuwa assert ya CIA.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mrusi hayupo nyuma ya Iran peke yake, yaliwakuta Iraq, Libya, Syria na wengi pia.
Siku ukijua nini maana ya iran kujitoa kumpatia russia drone ....maana yake nini ? Utskuwa umeanza kuwa na akili ...iran mjanja sana kutengeneza bond na urussi wakati wa shida wa urussi. Anajua naye akiwa kwenye shida na wahuni wa nato urussi itamfanyia mema pia
 
Mnafurahisha sana watu msio na clue za siasa za west na serikali ya USA. Kama ungekuwa na akili za kuepuka west medias zilizobased on propaganda na kuchukua taarifa kutoka kwenye vyanzo makini ikiwemo raia wenyewe.

Ungegundua kwamba wananchi wa USA ni watu kama wewe wanaofanya kazi kwa nguvu na kula kwa jasho na tax juu. Kwa sasa asillimia kubwa ya wananchi wanapinga nchi yao kushuhulika na matatizo na vita zisizowahusu. Yale mabilioni ya aids yanawakandamiza vya kutosha na wanaumia kuona kodi zao zinatumika kushughulika na na mambo ya wengine badala ya nchi yao. It's not all heaven in the west kama mnavyodhani na sio kila mzungu ni tajiri. This is a pathetic piece of a cheap of propaganda. Wenyewe wanasema "Play stupid games, win stupid prizes. Don't start a war you can't finish and everyone should deal with their own problems."

Alafu cha mwisho karibu nchi nzima ya Marekani inampuuza Biden. Wanamuita sleepy joe for a reason. Kama unadhani Biden ni mtu wa maana mwenye akili basi akili zako zinatia mashaka. Biden sio beberu, he's a fukking sheep.

1. Cheap propaganda iliyokuwa picked hapo kutoka kwenye west media kumbe ni ipi hapo ndugu?

2. Kuna mahali popote kunaposemekana anasakwa Iran kutokea kwenye western media?

3. Uthibitisho #1 na #2 ingependeza zaidi kutoka kwako unayezijua zaidi siasa za Marekani.

4. Beberu au sheep ni maneno ya wanyama wanaouliwa na binadamu.

5. Kulikoni sheep kuwa bora zaidi kumhusu Biden na si Beberu kumhusu Marekani ukizingatia mawili hayo si utambulisho wake rasmi?

6. Uthibitisho #5 utapendeza pia.
 
Hii dunia haiwezi kutulia as long mtaendelea kuzalisha magaidi
Dunia haiwezi kua na amani maadam United Shits Of Americant ipo na israhell ipo
Hayo mapuuzi mawili hapo juu ndio tatizo la amani ya dunia wakishirikiana na shoga zao EU NATO na G7
 
Dunia haiwezi kua na amani maadam United Shits Of Americant ipo na israhell ipo
Hayo mapuuzi mawili hapo juu ndio tatizo la amani ya dunia wakishirikiana na shoga zao EU NATO na G7

Kwa hakika bila ya dunia kujipanga kukabiliana na wawili hao "head on" Bado tupo tupo sana.
 
Siku ukijua nini maana ya iran kujitoa kumpatia russia drone ....maana yake nini ? Utskuwa umeanza kuwa na akili ...iran mjanja sana kutengeneza bond na urussi wakati wa shida wa urussi. Anajua naye akiwa kwenye shida na wahuni wa nato urussi itamfanyia mema pia

1. Mijadala ni hoja si na u big brother nao mumo.

2. Walisema mtegemea cha ndugu hufa hali masikini.

3. Misahafu ikasema amelaaniwa tumainiye bindamu.

4. Hii mbombo ni ya leo:

IMG_20231224_172543.jpg

5. Ukipenda jinafasi hapa:

Iran summons Russia’s envoy again over islands dispute with UAE

6. Hivyo ndiyo dunia, hayupo adui wala rafiki wa kudumu.
 
Kinachowauma wamerekani na israle na kuwaongezea uoga ni kuwa irani imeeekewa vikwazo kila kona na umoja wa ulay ili kumdhoofisha kama walivyofanya kwa sadam lakin jamaa ndo anaimarika kijeshi kila siku , huu na kwa sasa nadhani wameishiwa vikwazo la bda waanzishe vita ambayo itagharim uchumi wa dunia nzima
Na kinachoendelea kuwauma zaidi ni kwamba wanaona iran anaenda kutengeneza ama kashatengeneza mfupa mwengine mgumu pale mashariki ya kati yemen
Wale yemen kupitia houthi wakaachwa kwamiaka 10 wakakaa sawa nakwambia marekani na shost zake imekula kwao
Maana kama mara hii biti tu la baharini hapo kawavimbia na wamenywea na hapo ndio hawajakaa sawa ile sawia
Nakuhakikishia wakiwaacha wahouthi ndani ya miaka kumi bila kuwaingizia mgogoro basi iran itakua untouchable zaidi pale mashariki ya kati na duniani
Maana ukitaka kuipiga iran lazma ujue israhell inaenda kupotea maana Hizbullah na houthi watamtwanga israhell mpaka akome ama atumie nyuklia
Israhell ile iliokua bora kijeshi kiteknolojia kiuchumi hapo mashariki ya kati kama tulipo aminishwa ndio hii miezi mitatu wanapelekewa moto na hamas
Israhell ilikua over-rated sana ila majama wakawaida sanaaaaaaaa
 
Uko Russia ali tia mkono ? Russia alivyo tia mkono Syria kuna mbwa yoyote alie furukuta ? Russia alivyo tia mkono Venezuela kuna West yoyote alie endelea kupiga kelele, tena Venezuela alituma bomber moja tu Tupolev Tu-160..west wote waka mute
Heheeee umenikumbusha ile TU iliotia team kule
Marekani na shost zake walivyokua wajinga wale wakamchagua huan guaido kua rais wao halaf makao yake yakawa miami huko
Marekani pale alibugi hatimae guaido akapigwa na chini baada yakuona hakuna liwalo
Ukweli nikwamba sehemu ambayo Russia anatea team malengo ya us hua hayakamiliki ng'ooooo
 
Back
Top Bottom