Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

Hiyo coalition ya red sea imeishia wapi?
usije hata siku moja kufanya makosa kuamin kwamba Marekani hana uwezo kupiga taifa lolote bila msaada wowote. of course wahurthu yemen ni wadogo sana, na marekani anaona kama anapoteza silaha kupiga panzi. anatamani Iran, ipatikane sababu ya msingi kuingia Iran, na haipati.
 
Iran kesha usoma mchezo. Beberu alimpiga Sudan kwa makombora kutokea bahari ya hindi katikati huko. Huyo hawezi kuwa mwenzako.
 
Hivi uongo ni sehemu ya kuipa kiki dini ya allah?huwa nashangaa ugaidi unavyo pewa kipaumbele kwenye mazingira fulani na kuukataa vilevile kutegemeana na mazingira fulani!
 
Hivi uongo ni sehemu ya kuipa kiki dini ya allah?huwa nashangaa ugaidi unavyo pewa kipaumbele kwenye mazingira fulani na kuukataa vilevile kutegemeana na mazingira fulani!
Hii ngano yenu ya ugaidi ishaanza kupoteza maana
Tafuteni jina jengine hilo la ugaidi halina tena mvuto
Hamas endeleeni kupambania uhuru wenu endeleeni kuyaua mazayuni mpaka yakimbie ukanda wa ghaza kinguvu
 
1. Kwa mtazamo wangu nilikujibu:

"Huyu mwamba namwelewa hasira zake:

2. Kwamba, "whatever you call it" alichokuwa kaandika kilikuwa "logical."

3. Kwa maana kamili ya kuwa silazimiki kuchagua tu, katika options zako.

4. Au nasema uongo ndugu yangu?
Hio sentensi inaweza tafsiriwa kwa maana zaidi ya moja.

Ulidakia nikajua utamsaidia.

Au hukuelewa mkuu?
 
1. Tofautisha kumvamia Iran na kumvutia mtegoni akung'utwe.

2. Haipo siri kuwa nguvu za Iran zinaongezeka na hiyo Marekani na Israel ni kitisho kisichopaswa kupuuzwa.
Irani sio wakina Libia wala Iraq, Irani ni habari nyingine mkuu, na usishabikie ujinga, Vita yoyote na Irani, mtauziwa mafuta lira sh 10,000/ na hata hayo ya sh 10,000 bado yanaweza yasipatikane, so usishabikie upumbavu,
 
1. Mkuu Syria kaanza midundano na mabeberu muda tangia Assad Sr.

2. Hapa alipo Assad jr, leo akiwa kachoka mno kwenye machweo.

3. Syria original asingekuwa mtazamaji kwenye kadhia hii sasa Gaza.

4. Kulikoni Iran kuendelea kuwa mtazamaji Gaza kama mrusi yupo?
mbona huongelei waarabu halisi? Kwanza tambua Irani sio Mwarabu, na kuwasaidia Wapalestina ni ile tu basi.
 
Siku ukijua nini maana ya iran kujitoa kumpatia russia drone ....maana yake nini ? Utskuwa umeanza kuwa na akili ...iran mjanja sana kutengeneza bond na urussi wakati wa shida wa urussi. Anajua naye akiwa kwenye shida na wahuni wa nato urussi itamfanyia mema pia
huyu tunabishana na shamba boy kaachiwa smart phone
 
Poleni sana
Hamas wataendelea kuwachinja magaidi wa idf na marekani mpaka wakimbie ghaza mbwa wale
walikuwa wapi before 1948 hadi hivi sasa wamebakia wapalestina wachache kama mkoa mmoja wa tz?
 
Kwake alikua anaishi kabla ya mwaka 1948 huko ndio kwake
Ila pale alipo kavamia na anatakiwa apigwe mpaka akimbie
Safar ijayo mwaka 2030 israhell atapigwa kila kona mpaka atatema ardhi ya watu
Pataje alipokuwa anaishi kabla ya 1948
 
We kwa sasa Urusi hana cha kupoteza, ana uwezo wa kumsapoti Irani moja kwa moja, pigia mstari hana cha kupoteza.

Kwamba Mawazo yako ndiyo final and terminate? Kwani wewe ni nabii, Mungu, shwetwani, jini au malaika?
 
Irani sio wakina Libia wala Iraq, Irani ni habari nyingine mkuu, na usishabikie ujinga, Vita yoyote na Irani, mtauziwa mafuta lira sh 10,000/ na hata hayo ya sh 10,000 bado yanaweza yasipatikane, so usishabikie upumbavu,

Isije kuwa anaye andika upumbavu ni wewe:

IMG_20231219_124846.jpg

Mtanzania kujifanya mjuzi wa kila kitu ni kansa itakayo mtafuna kwa muda mrefu sana.

Sishangai unarusha statemeybaada ya statement kuliko robot la AI.
 
Beberu kamshindwa Yemen ndo apambane na Iran?? Kuweni serious [emoji23]

Beberu nguvu zake mpk apate msaada kwa wenzake mwenyew hatoboi [emoji23][emoji1787][emoji1787]hii vita iishe tu maana wanaaibika tu
 
Back
Top Bottom