Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Report Kwa uongoziModerator hizi lugha zinaruhusiwa?.
Off point.
Where is your target?
Ume quote mtu siye mkuu.
sasa mkuu huoni ni tofauti.Mkuu hayo ni mawazo yangu. Kulukoni kuwa jaji, prosecutor, shahidi, mzee wa baraza, na vyote?
Hoja hupingwa kwa hoja. Ndiyo ustaarabu.
Poleni sanaMudi aliwaharibu mno na hicho kitabu chenu kinachowabagua wasio wa imani yenu na kuwaita majina ya ajabu ajabu na tena kikiwaeleza kutumia jambia kuwakata binadamu wenzenu vichwa.
sasa mkuu huoni ni tofauti.
Nimsome metaphorical au literally?
wewe mtu aliyekufa akiwa analiwa unamuona live?
Ni metaphorical au literal language?
Nadhani hukujibu mkuu.
msumbiji raia wema mnauwa waliwwdhulumu nn?Kila dhuluma ya wenye nguvu dhidi ya wanyonge huzalisha wanaoitwa magaidi.
Kwake alikua anaishi kabla ya mwaka 1948 huko ndio kwakeMuisrael anaishi kwake na nyie kwenu, kawapatia maji umeme na ata ajira ila bado mnamvamia kuuwa raia na kuteka na hadi leo mmegoma kuachia watu wake na bado mnataka huruma na usuruhishi ....[emoji848][emoji848][emoji848]
acha story za vijiwen zungumzia mambo yenye ushahidiUmeanza kuifatilia HAMAS, baada ya Oct 7.
Israhell warudi walipo toka huko watakaa. Kwa amani sanaKwa sababu hao Israel siyo watu na nyie ndiyo binadamu mnaopaswa kuishi kwenye ulimwengu huu.....[emoji1][emoji1][emoji1]..
Wacha ya mabomu inyeshe tujue kesho mtalala wapi..[emoji1][emoji1]
kwan malengo ya beberu kws yemen yalikuwa yap?Beberu kamshindwa Yemen ndo apambane na Iran?? Kuweni serious [emoji23]
Kabisa huyo jamaa wakuramba block hata kwangu muda nilimtia komeoHuyo mwamba kwangu alipumzika kabatini muda.
Tumia ile button ya "report" kwenye hiyo message yake; hapo rungu la Moderator (kwa uzoefu wangu) huwa swift kuliko radi.
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvumsumbiji raia wema mnauwa waliwwdhulumu nn?
je Israel imechochea Wazanzibar kudai kujitenga ?Usichoelewa ni kuwa Israel alisaidia kuanzishwa HAMAS ili kutengeneza utengano Palestina.
Sera zile zile za CCM na upinzani Tanzania. Kwani CCM inataka umoja wa upinzani?
Israel haikutaka umoja wa akina PLO; HAMAS, PIJ na vikundi vingine ilikuwa Kwa maslahi yake zaidi.
je hamas iliundwa kupambana na nan ?Mkumbushe pia hata mujahideena (al qaeda) ilitengenezwa na Marekani ili ipambane na USSR ilipovamia Afghanistan.
msumbiji raia wema mnauwa waliwwdhulumu nn?
umeandika uchafu ili Hamad wakiachia mateka , je idf atapata wap sababu ya kuendelea kupiganaUnaweza kudhani kuwa si Marekani au Israel mwenye kumtaka Iran lakini jiulize:
1. Kwanini kumekuwa na Iran kulaumiwa kwenye mengi kwenye hii vita?
2. Kwanini kila hii vita ikitulia Marekani inatimba Israeli, vita vinarindima upya?
3. Kwanini Marekani ni wajumbe kwenye baraza la vita Israeli?
4. Kwanini kuna vita west bank ambako hakuna HAMAS?
5. Kwanini uwepo huu wa Marekani kwenye Israel na Gaza isiyokuwa na silaha wala usaidizi?
6. Angalia Hapa:
Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS
7. Kumbuka longo longo za Marekani UN kuhusu mzozo huu.
8. Kasi ya Iran hasa kwenye kutaka nuclear ni kitisho kwa mwana mpendwa wa Marekani pale mashariki ya kati.
9. Kama Iraq, Syria au Libya; Iran atakuwa mjinga kutodhani anatafutwa kwa udi na uvumba.
je Israel imechochea Wazanzibar kudai kujitenga ?
uwezo upo na kushinda kbs ila hakuna aliyetayar kubeba madhara yakeHakuna taifa lolote ulimwengu la kuanzisha vita vya moja kwa moja na Iran au Korea kaskazin
Wataishia kwenye vikwazo na mikwara tuu
umeandika uchafu ili Hamad wakiachia mateka , je idf atapata wap sababu ya kuendelea kupigana