Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

Mkuu hayo ni mawazo yangu. Kulukoni kuwa jaji, prosecutor, shahidi, mzee wa baraza, na vyote?

Hoja hupingwa kwa hoja. Ndiyo ustaarabu.
sasa mkuu huoni ni tofauti.

Nimsome metaphorical au literally?

wewe mtu aliyekufa akiwa analiwa unamuona live?

Ni metaphorical au literal language?

Nadhani hukujibu mkuu.
 
Mudi aliwaharibu mno na hicho kitabu chenu kinachowabagua wasio wa imani yenu na kuwaita majina ya ajabu ajabu na tena kikiwaeleza kutumia jambia kuwakata binadamu wenzenu vichwa.
Poleni sana
Hamas wataendelea kuwachinja magaidi wa idf na marekani mpaka wakimbie ghaza mbwa wale
 
sasa mkuu huoni ni tofauti.

Nimsome metaphorical au literally?

wewe mtu aliyekufa akiwa analiwa unamuona live?

Ni metaphorical au literal language?

Nadhani hukujibu mkuu.

1. Kwa mtazamo wangu nilikujibu:

"Huyu mwamba namwelewa hasira zake:

2. Kwamba, "whatever you call it" alichokuwa kaandika kilikuwa "logical."

3. Kwa maana kamili ya kuwa silazimiki kuchagua tu, katika options zako.

4. Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Muisrael anaishi kwake na nyie kwenu, kawapatia maji umeme na ata ajira ila bado mnamvamia kuuwa raia na kuteka na hadi leo mmegoma kuachia watu wake na bado mnataka huruma na usuruhishi ....[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwake alikua anaishi kabla ya mwaka 1948 huko ndio kwake
Ila pale alipo kavamia na anatakiwa apigwe mpaka akimbie
Safar ijayo mwaka 2030 israhell atapigwa kila kona mpaka atatema ardhi ya watu
 
Kwa sababu hao Israel siyo watu na nyie ndiyo binadamu mnaopaswa kuishi kwenye ulimwengu huu.....[emoji1][emoji1][emoji1]..

Wacha ya mabomu inyeshe tujue kesho mtalala wapi..[emoji1][emoji1]
Israhell warudi walipo toka huko watakaa. Kwa amani sana
Hapo kwa watu wanatakiwa wapigwe mpaka wakome
 
Huyo mwamba kwangu alipumzika kabatini muda.

Tumia ile button ya "report" kwenye hiyo message yake; hapo rungu la Moderator (kwa uzoefu wangu) huwa swift kuliko radi.
Kabisa huyo jamaa wakuramba block hata kwangu muda nilimtia komeo
 
Usichoelewa ni kuwa Israel alisaidia kuanzishwa HAMAS ili kutengeneza utengano Palestina.

Sera zile zile za CCM na upinzani Tanzania. Kwani CCM inataka umoja wa upinzani?

Israel haikutaka umoja wa akina PLO; HAMAS, PIJ na vikundi vingine ilikuwa Kwa maslahi yake zaidi.
je Israel imechochea Wazanzibar kudai kujitenga ?
 
Unaweza kudhani kuwa si Marekani au Israel mwenye kumtaka Iran lakini jiulize:

1. Kwanini kumekuwa na Iran kulaumiwa kwenye mengi kwenye hii vita?

2. Kwanini kila hii vita ikitulia Marekani inatimba Israeli, vita vinarindima upya?

3. Kwanini Marekani ni wajumbe kwenye baraza la vita Israeli?

4. Kwanini kuna vita west bank ambako hakuna HAMAS?

5. Kwanini uwepo huu wa Marekani kwenye Israel na Gaza isiyokuwa na silaha wala usaidizi?

6. Angalia Hapa:

Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

7. Kumbuka longo longo za Marekani UN kuhusu mzozo huu.

8. Kasi ya Iran hasa kwenye kutaka nuclear ni kitisho kwa mwana mpendwa wa Marekani pale mashariki ya kati.

9. Kama Iraq, Syria au Libya; Iran atakuwa mjinga kutodhani anatafutwa kwa udi na uvumba.
umeandika uchafu ili Hamad wakiachia mateka , je idf atapata wap sababu ya kuendelea kupigana
 
je Israel imechochea Wazanzibar kudai kujitenga ?

1. Wapi nimesema Israel huchochea kujitenga?

2. Kuchochea wapalestina kujitenga Kuna maslahi na Israel; hawezi kuacha na kesi ya kujibu hapo!
 
Hakuna taifa lolote ulimwengu la kuanzisha vita vya moja kwa moja na Iran au Korea kaskazin
Wataishia kwenye vikwazo na mikwara tuu
uwezo upo na kushinda kbs ila hakuna aliyetayar kubeba madhara yake
 
umeandika uchafu ili Hamad wakiachia mateka , je idf atapata wap sababu ya kuendelea kupigana

1. Unajua kwa nini HAMAS anashikilia au kwanini alichukua mateka?

2. Hujui sababu za #1 hapo zimekuwapo tangia 1948 na vita imedumu pale siku zote?
 
Back
Top Bottom