Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

Iran itajiingiza mara ngapi wakati ilishajiingiza? Moja ya wafadhiri wa Hamas mbali na Qatar ni Iran.
 
1. Mapema leo:

View attachment 2851676

2. Jana:

View attachment 2851678

3. Anapigana na nani huko wakati Gaza ni ndogo kuliko dar, ana vifaru, madege yenye watu hadi drones?
Sio ndogo ni kama wilaya kimoja tu, Dar es salaam ni 1340 Square kilometers na Ghaza ni 340 tu Square kilometers sasa sijui kama Kinondoni au Ilala. Vita vya ardhini havina mwenyewe hata USA wazuri kupiga kwa mbali makombora melini au ndege lakini ukiwaweka ardhini hamna kitu tumeona yaliyowakuta Vietnam, Somali na Afghanstan.
 

Mtakufa temaneni na Myahudi, panafanywa shamba pale
Halafu nimeona mnaanza ugomvi na Wahindi, yaani nilikuambia popote mnaanzisha ugomvi ninaunga hao wa upande wa pili, hapa sasa natamani kusikia Wahindi wameanza kuawasaka India na kuwapa kichapo

 
Wanajua haitakuwa vita na Iran bali itakuwa vita na axis of resistance by iran tegemea nchi 5 zitaingia vitani kuitetea iran hii haitakuwa weak isolated Iraq ya saddam hussein.
 
Kinondoni na ilala kubwa sana kwa ukanda wa ghaza
Ukanda wa ghaza nikaeneo kadogo sana sanaaaaaaaa
Ila mazayuni mpaka leo yanataabika napo tu nahayatafanikiwa
 
Hamas kundi teule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…