Wakuu,niko katka mtihan mkubwa mno,...mi hua siwap madem zangu ndinga hata sku1,..na kwanza ni mara chache nmemskia dem anaomba ndinga kwangu,
Sasa nna huyu dem ambae namla mla ofcoz.sio dem kiviile,..leo ananambia anaomba ndinga,et yaan nakujikausha kote huko skuzote sjawai endesha gar yako,..kiukwel mim kuhusu swala la kumpa ndinga dem ni hua haiwezekan,bora nimpe dume mwenzangu,..na tena ni nadra sana,labda awe ndugu yangu,..sio ushamba,ndo nilivyo,..namii pia kuendesha ndinga ya mtu hapana,.
Enz hzo ndinga ya kwanza nilijuaga labda ni ushamba,lakin imeendelea hii tabia kwa ndinga zote nilizowai miliki,...sasa huyu dada kwakwel naona hanijui,na uhusiano uishe tuu ila hii ndinga siwez mpa hata sku1
Samahanin wakuda,najua mtakuja sema ooh ,so unatuambia tujue una ndinga,yes nna mandinga tena,sio ndinga.