Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Yakwapi?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

IMG_0956.jpg
 
Ccm hawajawahi kufanya jambo la kuwafurahisha watanzania. Sijui wanatuonaje
 
Nawaambia hivi hakuna siku itapita bila kumkumbuka jpm.

Juzi nililia kweli, nilikuwa kijiji fulani huko ndani ndani wakawa wanalaamika umeme, mara babu akasema "nilinunua jenereta ili tuwe tunaangalia tv tumuone magufuli " baada ya kifo chake babu anasema hajawahi kununua mafuta wala kuwasha jenereta.

Nikawaza huyu magufuli alikuwa ni nani watu hawana umeme kijijini ila wanaweka jitihada za kumuona hata kwenye taarifa ya habari. Na wakasema jpm angekuwa hai umeme wangekuwa washapata maana nguzo jpm alikwisha peleka kule kabla ya kifo chake.

Ni kweli kabisa wakati jpm. Yupo hata wewe usiempenda unaesoma hapa ulikuwa unamfatilia kwa karibu, ulitaka kujua leo jpm alikuwa wap? Leo jpm kaongea nini? Leo jpm kamtumbua nani? Leo jpm kafanya wapi ziara za kushutukiza.

Nyie watu Mungu alileta huyu mtu duniani kwa njia ya tofauti sana.

Yaani mtu anamchukia jpm ila taarifa ya habari yeye ndo wa kwanza kuwasha tv ili amuone tu.

Hivi hili mnaliwaza au mpo mnapinga pinga na akili zenu za ajabu?

Mnaweza sema sisi tunaoumizwa na kifo cha jpm ndo tunateseka ila niwaambie hata nyie msiompenda mnammiss sana jpm

Kubwa kuliko yote hata wapinzani wamemmiss chuma ya chato.

Rip jpm wetu.
 
Ikifika nami itabidi nifanye utalii wa ndani kupitia hii chuma
 
Back
Top Bottom