Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Bwashee nimecheka sana, asante umeichangamsha asubuhi yangu.
 
Magufuli angekuwepo asingeleta ujinga huu hata kidogo. Mzanzibar na treini wapi na wapi
 
Ndugu watanzania vya bure gharama😂😂😂😂😂
 
Hio rangi kwa jua na vumbi hili la bongo soon yatakuwa kama mazizi ya ng'ombe
 
Waache utani na kodi zetu kama ndio behewa hizo haziendani na hadhi ya SGR
 
20221124_085126.jpg


Swali: Lengo la hii SGR lilikuwa masafa marefu ama mafupi? Masafa mafupi ndiyo yapi, Posta hadi Pugu ndiyo masafa mafupi, huwezi kusema Dar mpaka Moro ni masafa mafupi.

Hizi behewa kweli zitamili treni ya mwendokasi? Ama ndiyo kutakuwa na treni mwendo polepole na mwendo wa kasi? Kama jibu ni ndiyo si kuna possibility kubwa zikatokea ajali za mara kwa mara?
 
Nashangaa TRC kuanza kupokea Mabehewa tofauti na ambayo tuliaminishwa yatakuwa ya kisasa!
Na tena PM Majaliwa akaonyeshwa YouTube akiwa ndani ya Korea!

PM!
Alikagua sehemu ya Shehena ya Mabehewa ya kisasa,ambayo tuliamniwa ndiyo Order ya TRC kupitia Serikali yetu!

Sasa Mbona tunachok8shuhudia Sio kile tulichoonyeshwa na PM Majaliwa!

Mko wapi kina
#Musukuma!
#Kibajaji!
#Kigwangalla!
#Chiembe!
#Sunk if the cost fallacy!
#Johnthebaptist!

Orodha ni ndefu ila njooni mtuambie Mama Ameupigaje hapo?
JamiiForums2087374561.jpg
View attachment 2425763
 
Upande mwingine nasikia walimu wakisema wame tradeoff mishahara na vishikwambi kwa lazima maana wamepewa vishikwambi lakini mpaka dakika hii mishahara hawajalipwa
 
Kama mtu hana uhakika mwanae atafanya kazi GANI Baada ya kumsomesha KWA gharama kubwa!

Basi lazima aibe alimbikize mali KWAAJILI ya watoto wake coz haioni future ya mwanae Baada ya kuelimika!!

Tupambane tupate mitaala ya kujiajiri Ili tupunguze wezi kitaa, Lakini kama tukiendelea na hali iliyopo ya kusoma ku subiri ajira bass idadi ya panyaroad itaongezeka na kutamalaki NCHINI!
 
Back
Top Bottom