Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Hayo mabehewa Tanzania wanatengeneza wapeni vijana kazi acheni muda wote kufikiria kuiba tuu vitu vingi hapo vinaagizwa harafu wanaunganisha hayo matofali washindwe kutengeneza Sido kweli mpaka mmeamua kununua nje ili mpige mchongo wenu...SA yale ya kisasa wanayapeleka scraper Jan 2023 harafu ninyi mnatulete uhuni na kuutangaza kabisa...
 
Mimi nimepanda ile SGR ya Nairobi Mombasa, sijashangaa kabisa kuona haya Mabehewa, sijaona Treni streamline kama hizo za kwenye picha ya mwanzo.

SGR ni majanga tu,Kenya Bandari yao inaenda kutwaliwa na China.

Sijui sisi tumeweka dhamana kitu gani?
 
Kuna wakati Tz unaogopa hata kusema maaana ni changamoto kila sehemu
 
Kwanamna dikteta JPM alivyopenda kutesa na kuua watu wasiomtaka na kwa jinsi alivyojiona naye ni mungu fulani, kifo chake kiliepusha mambo mengi sana.
 

Ubovu wa mama haumfanyi Magufuli kuwa Bora. Alipomwaga damu ya Lissu na Saanane asingechukua raundi. Ogopa damu ya mtu.
 
Mara baada ya upembuzi yakinifu toka kwa timu ya mainjinia, kuja kutafiti waliona hiyo picha namba moja ni ngumu sana kudumu kwa muda mrefu kwa maana hilo ni Mayai zaidi, kwa hali ya reli yetu watuletee hayo ambayo yatakuwa mazuri kwa mazingira yetu na yatadumu kwa muda mrefu.
 
Mwanzo tuliahidiwa hivi[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Picha namba 1
Tumeletewa haya mabox Picha namba 2
Ni huzuni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2424970View attachment 2424971
Usije ukakurupuka! Hizo behewa za ahadi uliwahi kupanda ukaona ndani zikoje; ili ulinganishe na hizi ambazo sisi wengi hatujapanda?
Au labda umesoma contact specifation documents?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…