Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Acha wazilete tu watafugia kuku. Sioni dalili ya mradi kukamilika wakati wakubwa wanazidi kununua mabasi na malori.
 
Huu mkataba mmesaini wenyewe kabisa na wala bashiru hakuwa kiongozi popote zaidi ya kuwa mbunge.

Kwa hiyo muacheni.

View attachment 2425155

TULICHOAMBIWA
View attachment 2425161

KILICHOLETWA.

View attachment 2425162
Kwenye hili la mabehewa naona wengi wanachanganya mambo, yawezekana kwa kutojua, au wanajua lkn wanapotosha makusudi. Wengi wanatumia picha ya set ya EMU train kubeza behewa zilizoletwa bila kujua kwamba hivyo ni vitu viwili tofauti
Ikumbukwe kwamba TRC walitutangazia wameagiza:
1. Vichwa vya treni na behewa
2. Set kadhaa za EMU train
Hivi ni vitu viwili tofauti, hiyo namba moja ipo kwenye muundo wa treni za kawaida(ordinary) ambapo kichwa cha train ( Locomotive) ndicho self propelled unit na behewa ni non propelled unit, kichwa kinafunga mabehewa na kuyavuta, hizi kikawaida hutumika kwa safari ndefu
Namba mbili ambayo ndiyo picha inayotumiwa na wengi kukejeri ni set ya EMU trains ambazo july 2021 TRC waliingia mkataba na kampuni ya Hyundai Rotem ya korea kusini, hizi EMU ni tofauti na hizo hapo namba moja, kwenye EMU kichwa na mabewa vyote ni self propelled unit, maana yake ni kwamba kichwa na behewa vyote vina motor za kuviendesha, treni hizi ni za mwendo kasi na zinatumika kwa safari za masafa mafupi. Kifupi ni kwamba mnakejeri kwa kutumia picha za vitu viwili tofauti.
Tuwe wavumilivu, mambo mazuri yanakuja, hata ikiwa kwa kuchelewa
 
Point of correction,, ile asaivi inajulikana Kama TRC Na sio TRL
 
Hii nakumbuka hata kenya waliahidiwa treni nzuri mombasa nairobi route, Yakaja maududu unajua nini kilitokea, Abiria hawa opt kupanda treni badala yake imekua ni hasara mno ukilinganisha ilikopwa pesa nyingi kwa wachina,
Yaani kifupi mradi ukawa haulipi. same story naiona hapa.
cause dar dodoma si mbali kihiivyo ukamhamasisha mtu apande train aache kutumia luxury buses you need to compete with buses ukilia mikwelekweche itakua hasara tu.
Dar Dodoma kwa gari ni roho mkononi mwenye akiri nzuri hawezi achapanda treni.
 
1669259396632.png


Ni kama MV Bagamoyo ya 2015
 
Mwanzo tuliahidiwa hivi[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Picha namba 1
Tumeletewa haya mabox Picha namba 2
Ni huzuni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2424970View attachment 2424971
Mbona hii iliyokuja ni kama basi la kwa kwini lililobeba waombelezaji?

Kweli rip jpm wetu ungetuletea ulichotuhaidi, kodi tunakatwa kila sehemu bado tunaletewa vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom