Bei na tofauti ya laptop na desktop

Chief niliipata App,lakini baada ya kui install kufunguka inagoma
Mkuu download hio f-droid, kisha ifungue nenda setting kwenye repository enable archive. Rudi kwenye app search mwenyewe, app karibia zote zitakuja version za zamani ambazo zinakubali simu yako, itakusaidia...
 
[emoji106][emoji106]
 
Upgrade path nzuri sana hapa sijaelewa mkuu naomba unieleweshe, kuna mtu anataka kuniuzia
Unaweza ukabadili cpu ukaweka ryzen 5, 7 ama 9 huko mbele ya safari. I hope ni 3500 (desktop) na sio 3500U (laptop)
 
Ndio ama imechomolewa Manual, unakuta ndani zilikua 4GBx2 ikaandikwa 8GB halafu baadae mtu kachoboa ram moja ikabaki 4GB.
Mkuu nahitaji laptop SSD Kwa ajili ya internet na ishu ndogondogo naomba unielekeze ninunue ipi na bei ipoje
 
Mkuu nahitaji laptop SSD Kwa ajili ya internet na ishu ndogondogo naomba unielekeze ninunue ipi na bei ipoje
Kuna model tofauti tofauti ila common sana ni sata Ssd na Nvme.

Angalia laptop yako ina port gani kama ni ya kizamani ina hdd tu basi sata ssd unaweka ila kama ina port ya nvme unaweza ukaweka ssd ya m2 na ukabakisha hdd ya sasa zikafanya kazi zote.

Kama hujui kuangalia niwekee model full ya laptop/desktop nikuchekie.
 
Samahan nilikosea kuandika,
Yani nahitaji kununua laptop yenye SSD for internet na issues ndogondogo, kwahyo nataka unielekeze nichukue hipi ambayo ni bora na bei yake ipoje
 
Samahan nilikosea kuandika,
Yani nahitaji kununua laptop yenye SSD for internet na issues ndogondogo, kwahyo nataka unielekeze nichukue hipi ambayo ni bora na bei yake ipoje
Budget ni kiasi gani? Nipe range
 
Rahisi kupata Ryzen 5 3500U ama intel i5 8250U laptop zake zipo nyingi mtaani, tafuta tu brand unayo penda, ikiwa na hio M2 slot itakua vizuri zaidi ili usipoteze nafasi ya kuwa na storage kubwa zaidi.
 
Mkuu brand new HP ProBook 635 Aero G7 kwa 800k ni sawa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…