Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Afu tano!! Rostitamu apate wapi faida?Ishuke iwe ata afu tano tano kila mtu ai-afford
Inapunguza mitungi ya gas au gas yenyewe?Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.
Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo bungeni leo Januari 29 wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalumu Maryam Azan Mwinyi aliyetaka kujua mkakati wa serikali wa kupunguza bei ya gesi ya matumizi ya nyumbani.
Afu 2Ishuke iwe ata afu tano tano kila mtu ai-afford
Afu 2Labda Mtungi mdogo ukiwa aftatu-3000
Unaofatia ukiwa aftisa
Ule mkubwa uwe afkuminatano
Mtungi ukiuzwa aftatu kwa aftisa ndio watu wataacha kutumia mkaa
Umeme unauzwa nje bei nafuu wenye umeme unazalishwa kwenye ardhi yao wanauziwa bei juu,na umeme gharama ishuke
Afu 2 hio 5 umemtwisha mama kuni kichwani lazima aufyeke ule mwembe wake pale shamba achome mkaaUwezo wa Waswahili wengi walau iwe elfu tano na Mswahili asihusike kulipia kasha auziwe gesi tu kilnyume na hapo ni blah blah tu na Waswahili wataendelea kukimbilia kuni tu.
Ishauzwa hio kitambo sana sio ya kwenu mna gesi iliyouzwa sema hivyoTuna gesi mtwara lakikini bado kununua ni gharama aisee.
Askofu gwajima aliwai ongelea hili swala..Hii nchi ina viongozi matahira.
Kwanini wasiite mwekezaji achakate gesi ya ndani?
Kwanini serikali isikope posa na kujenga kiwanda cha kuichakata hapa nchini?
Haya mambo ya kutoa ruzuku ni utapeli na upigaji