Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

Mpaka yaje yatokee hayo, kuni na mkaa vitakuwa vimetumika mpaka basi. Hizi ni politics
 
Hii nchi ina viongozi matahira.
Kwanini wasiite mwekezaji achakate gesi ya ndani?
Kwanini serikali isikope posa na kujenga kiwanda cha kuichakata hapa nchini?
Haya mambo ya kutoa ruzuku ni utapeli na upigaji
Mh! mkuu serikali ikope posa tena inataka impose nani..? mnatutisha walahi..🤣
 
Zilongwa mbali zitendwa mbali. Kanuni ya Mswahili.
 
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.
Hapo kwenye red ni 2025 ila mmejisahau
 
kupungua kwa bei ni kupisha mwaka huu wa uchaguzi upite, baada ya hapi tozo ni vile vile
 
Ipungue tu ili kuni na mkaa miti iachwe kukatwa misitu isitawi
 
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.

Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo bungeni leo Januari 29 wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalumu Maryam Azan Mwinyi aliyetaka kujua mkakati wa serikali wa kupunguza bei ya gesi ya matumizi ya nyumbani.

Wakati huu wa uchaguzi, hakuna "rangi" tutaacha ona..!! Si unaona hata hiyo mitungi ilivyo na "rangi" za kumwaga..!!
 
Labda Mtungi mdogo ukiwa aftatu-3000
Unaofatia ukiwa aftisa
Ule mkubwa uwe afkuminatano


Mtungi ukiuzwa aftatu kwa aftisa ndio watu wataacha kutumia mkaa
Tatizo sio bei ya mitungi ishu ni gas mkuu. Kama wanawajali kweli wananchi, washushe bei ya gas. Vinginevyo itakuwa ni siasa tu na kuwanufaisha wafanyabiashara.
 
Askofu gwajima aliwai ongelea hili swala..

Gwajima ni big brain.

SEMA TATIZO NI CCM anatakiwa apatikane mtu Kama JPM ama TUNDU LISU
NASHANGAA WATU WANABWABWAJA KWENYE MIJADALA KAMA HII BILA KUWATAJA WATU WA KAZI KAMA HAWA,
KWA HAO MAZWAZWA WENU WALIOPO MTAENDELEWA KUJAZWA UONGO HAKUNA CHA MAANA.. KONGOLE WEW ULOTAJA HAYO MAJINA YA WATU WA KAZI MAALUMU.
 
hii ni nzuri ikiwa si mambo ya kampeni maana kuna mambo yanaenda kulingana na nyakati...gesi ipo mtwara, wangefuta kabisa kodi ili watu wasahau kuhusu mkaa
 
Back
Top Bottom