JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao.
Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda kila siku.
Uongozi hauna ubunifu kabisa. Mambo yanawakuta mezani tu na hawana ujanja wowote wa kupambana na mambo makubwa.
Kiufupi ni watu walio zoea dili, dili na wao, wao na dili tangu wazaliwe wako hivyo.
Ukiendelea kutoa rudhuku, italiwa na bei zitapanda vilevile.
Futa uongozi wa Juu na Ondoa hiyo rudhuku ikafanye kazi zingine.