Ni feedback kuwa machozi na vilio vya Watanzania wanaoonewa na kubebeshwa mizigo ya Kila aina umefika Kwa MUUMBA.MKUU
Mtoto wa siku TATU SIO!!?
Nahisi ulikuwa ni ujumbe wa dola KWA mama !
Kupitia stori ya Mtoto au Sio!!?
Ngoja TUONE!!
Ni kusubiri ADHABU tu, maana dalili za TOBA hazionekani.