Tena labda kabla hata ya 2025.Kidogo kidogo itafika 5000
Daladala si hadi zitoshe sasa?Tutaongea tu lugha moja, tupande tu daladala, na ninaomba yazidi kupanda ili mchawi wetu tumjue.
Mikodi kibao kt mafuta, miamala uku wao wakidhani hatuumii.
Asante sana mungu na vyakula vipande kilo ya unga ifike elf5 kwan wanajua watanzania ni mafala kama nguruwe huwa hatuumii
Hawezi kumtoa kipara sababu hajamuweka yeye, yeye kazi yake ni kutangaza tuChonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao.
Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda kila siku.
Uongozi hauna ubunifu kabisa. Mambo yanawakuta mezani tu na hawana ujanja wowote wa kupambana na mambo makubwa.
Kiufupi ni watu walio zoea dili, dili na wao, wao na dili tangu wazaliwe wako hivyo.
Ukiendelea kutoa rudhuku, italiwa na bei zitapanda vilevile.
Futa uongozi wa Juu na Ondoa hiyo rudhuku ikafanye kazi zingine.
Hatari snWabunge mbumbumbu walitaka kusovu tatizo la muda mrefu Kwa shotikati !!!
NakaziaWabunge mbumbumbu walitaka kusovu tatizo la muda mrefu Kwa shotikati !!!
Nia nzuri ndio ikoje? Hao waliomzunguka kawaweka nani? Je, yeye hana Akili kubwa ya kujua kuwa waliomzunguka Ni Mbwa Mwitu? Nia Nzuri inaishia kuwa good wishes bila kuwa transformed into positive results? Hivi Vita vya Ukraine athari zake Ni Kwa Tanzania pekee?Mama SSH ana nia nzuri sana na nchi hii sema amezungukwa na mbwa mwitu wabaya sana pande zote.
Ni wapigaji wasio na huruma hata kdg, dawa ni kuachana na haya majizi na kuweka wazalendo na wenye hofu ya Mungu.