R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jul 6, 2022 #41 RAISI AJAYE said: MKUU Mtoto wa siku TATU SIO!!? Nahisi ulikuwa ni ujumbe wa dola KWA mama ! Kupitia stori ya Mtoto au Sio!!? Ngoja TUONE!! Click to expand... Ni feedback kuwa machozi na vilio vya Watanzania wanaoonewa na kubebeshwa mizigo ya Kila aina umefika Kwa MUUMBA. Ni kusubiri ADHABU tu, maana dalili za TOBA hazionekani.
RAISI AJAYE said: MKUU Mtoto wa siku TATU SIO!!? Nahisi ulikuwa ni ujumbe wa dola KWA mama ! Kupitia stori ya Mtoto au Sio!!? Ngoja TUONE!! Click to expand... Ni feedback kuwa machozi na vilio vya Watanzania wanaoonewa na kubebeshwa mizigo ya Kila aina umefika Kwa MUUMBA. Ni kusubiri ADHABU tu, maana dalili za TOBA hazionekani.
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Jul 6, 2022 #42 MBIIRWA said: Kidogo kidogo itafika 5000 Click to expand... Ndivyo inavyotakiwa
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Jul 6, 2022 Thread starter #43 Root said: Mnashabikia vita ya Urusi afu mnamlaumu Rais Click to expand... Mama hana Mukono wa Uongozi. Majanga yanakuja lakini hajui nini afanye badaa yake anasikiliza marekani/uingeleza wanasema nini. Huyu angekuwa Rais wakati Corona inaanza tungekufa na njaa na vitu vingepanda bei.
Root said: Mnashabikia vita ya Urusi afu mnamlaumu Rais Click to expand... Mama hana Mukono wa Uongozi. Majanga yanakuja lakini hajui nini afanye badaa yake anasikiliza marekani/uingeleza wanasema nini. Huyu angekuwa Rais wakati Corona inaanza tungekufa na njaa na vitu vingepanda bei.