Aaronrweumbiza
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 577
- 711
Kuwa mzalendo ndugu, penda nchi yako, hii sio Simba na Yanga. Naona kila siku unaitetea serikali.Mafuta huwa yananuniliwa miezi 2 kabla,kwa mfano mafuta ya kutumika mwezi ujao yaliagizwa toka mwezi wa 7..ndio maana Ewura wamewaambia Bei zitapungua kidogo mwezi ujao..
Mafuta hayaagiswi kama kwenda Duka la Mangi.
Kupenda Nchi yako na kuwa mzalendo ni kuichukia,kuisema vibaya na kutoitetea serikali ππππKuwa mzalendo ndugu, penda nchi yako, hii sio Simba na Yanga. Naona kila siku unaitetea serikali.
Ni kweli kabisa!! Ikipanda wanapandisha fasta, ikishuka watadai tulinunua kabla hayajashuka!! Hakuna siku wameshusha bei!!EWURA wao ikipanda huko hata kama walinunua miezi 3 iliyopita watapandisha tuΒ‘ lakini ikichuka uwii huwaoni kamwe.[emoji24][emoji24][emoji24]
kingizio cha miaka nenda rudi!! Hatujawahi kushuhudia mafuta yapande duniani halafu sisi huku Ewura washushe bei halafu waseme waliyanunua wakati bei imeshuka!!Kwa sababu mwezi walionunua yalikuwa yamepanda tena.
Yakipanda hawawezi kushusha ila yakishuka watashushaKis
kingizio cha miaka nenda rudi!! Hatujawahi kushuhudia mafuta yapande duniani halafu sisi huku Ewura washushe bei halafu waseme waliyanunua wakati bei imeshuka!!
Madelu huyo toka "Singapo" ya Tz!! Anamgombanisha mama na wapiga kura maana mwenyewe anaitaka ikulu!! Madelu mzee wa kukamua!!Kwa jinsi tunavyoelekea itafika mahali tutatoa damu maana wananchi wanakamuliwa mpaka point ya mwisho ....hawana nafuu ya maisha ,, ,natabiri tunapoelkeaa tutatoa damuView attachment 2315857
Heeee!! Baada ya Magufuli kufa...vikao na mikutano imerudi Serena Hotel?Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September
Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Bongo nyoso
by the way hizi kauli za ujinga usiwe una post humu. Usikute hata baba yako haja pigania Uhuru wa nchi hii. Alikuwa mkata mauno tu.Tusisumbuane,hamia kwenye Nchi mojawapo hapa Chini hata ikibidi Rwanda na Kenya ambako Bei ni nafuu ya Tanzania [emoji116]
Wewe uliyepigania una faida gani hasa? Kubwa jingaby the way hizi kauli za ujinga usiwe una post humu. Usikute hata baba yako haja pigania Uhuru wa nchi hii. Alikuwa mkata mauno tu.
Swali ni moja tu Zanzibar lita ni 2980 wao wa nananua soko lipi wadanganyika hamuwezi kufika? Acha mpigwe tu mmefunikwa na kivuli cha kijaniMafuta huwa yananuniliwa miezi 2 kabla,kwa mfano mafuta ya kutumika mwezi ujao yaliagizwa toka mwezi wa 7..ndio maana Ewura wamewaambia Bei zitapungua kidogo mwezi ujao..
Mafuta hayaagiswi kama kwenda Duka la Mangi.
Kuna mpango hapa wa kupiga bil.100 kwa miezi 6 = bil.600 that isMaajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Nimemsikia yule jamaa kiongozi wa waagizaji wa mafuta anakili kweli mafuta yamepungua bei ila hawajashusha kisa premium bado ziko juu nikaamini kweli hili ni taifa la wadanganyika nikiunganisha na statement ya hangaya kule mbeya nikajua huu ni mpango wa sirikale kunyonya wananchiMaajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Mafuta sio swala la muungano,kila Nchi ina sera tofauti,Bara kuna Kodi za miradi ya barabara,reli,Rea,Tarura nk kwenye mafuta.Swali ni moja tu Zanzibar lita ni 2980 wao wa nananua soko lipi wadanganyika hamuwezi kufika? Acha mpigwe tu mmefunikwa na kivuli cha kijani
Magufuli afufuke atuokoeBei inapopanda haraka sana wanapindisha inshort tokea April Bei ilikua imeanza kushuka
Sasa kwanini wasiache bei ile ile hamna hasara watakaoingia si kuna ruzukuWewe sasa ndo unatuvuruga! Walinunua bei ikiwa juu, lini? Tangu bei imeanza kupanda hapa nchini, haijawahi kushuka hata baada ya kudanganya na ruzuku ambayo kimsingi inaliwa tu.
Tunajua kuwa soko la dunia, zaidi ya miezi 2 sasa bei imeshuka.
Sasa wewe utuambie, stock ya nchi ina last for how long na bulk ya mwisho ambayo ndio tunayotumia sasa ililetwa lini ili tuone kama kuna justification ya kupandisha bei kwa zaidi ya sh 340 kwa lita ndani ya miezi 2 tu.
Bei inayoongezeka kila mwezi inatokana na nini ukilinganisha na stock iliyopo? Hiyo bidhaa itakayouzwa mwezi wa 8 imeshaingia nchini? Iliagizwa lini? Kwa bei gani imeagizwa ili tuone kama kweli kuna haja ya ruzuku au ndo wanachukua ili kuwahonga kina Uwoya?
Au serikali yenu nayo haina transparency na hasa kwenye hali ngumu kama hii?
Genge la wahuni tangu lini likaaminika?Msipende kupotosha,wamesema mwezi ujao mafuta yatashuka ila haya yanayotumika sasa yalinunuliwa kipindi Bei ikiwa juu.
Jiamini mwenyewe ila lipa Bei ya EwuraGenge la wahuni tangu lini likaaminika?