Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

Mafuta huwa yananuniliwa miezi 2 kabla,kwa mfano mafuta ya kutumika mwezi ujao yaliagizwa toka mwezi wa 7..ndio maana Ewura wamewaambia Bei zitapungua kidogo mwezi ujao..

Mafuta hayaagiswi kama kwenda Duka la Mangi.
Kuwa mzalendo ndugu, penda nchi yako, hii sio Simba na Yanga. Naona kila siku unaitetea serikali.
 
Kwa jinsi tunavyoelekea itafika mahali tutatoa damu maana wananchi wanakamuliwa mpaka point ya mwisho ....hawana nafuu ya maisha ,, ,natabiri tunapoelkeaa tutatoa damu
FB_IMG_1659685356925.jpg
 
EWURA wao ikipanda huko hata kama walinunua miezi 3 iliyopita watapandisha tu¡ lakini ikichuka uwii huwaoni kamwe.[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni kweli kabisa!! Ikipanda wanapandisha fasta, ikishuka watadai tulinunua kabla hayajashuka!! Hakuna siku wameshusha bei!!
 
Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September

Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo nyoso
Heeee!! Baada ya Magufuli kufa...vikao na mikutano imerudi Serena Hotel?

Afu Russia haijawahi kupandisha bei ya mafuta toka vita ianze. Ila ni upumbavu wa Africa kuto nunua mafuta ya Urusi eti kumuogopa Marekani.
Naona hela za Uchaguzi zina kusanywa.
 
Tusisumbuane,hamia kwenye Nchi mojawapo hapa Chini hata ikibidi Rwanda na Kenya ambako Bei ni nafuu ya Tanzania [emoji116]
by the way hizi kauli za ujinga usiwe una post humu. Usikute hata baba yako haja pigania Uhuru wa nchi hii. Alikuwa mkata mauno tu.
 
Mafuta huwa yananuniliwa miezi 2 kabla,kwa mfano mafuta ya kutumika mwezi ujao yaliagizwa toka mwezi wa 7..ndio maana Ewura wamewaambia Bei zitapungua kidogo mwezi ujao..

Mafuta hayaagiswi kama kwenda Duka la Mangi.
Swali ni moja tu Zanzibar lita ni 2980 wao wa nananua soko lipi wadanganyika hamuwezi kufika? Acha mpigwe tu mmefunikwa na kivuli cha kijani
 
Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda

View attachment 2315145
Nimemsikia yule jamaa kiongozi wa waagizaji wa mafuta anakili kweli mafuta yamepungua bei ila hawajashusha kisa premium bado ziko juu nikaamini kweli hili ni taifa la wadanganyika nikiunganisha na statement ya hangaya kule mbeya nikajua huu ni mpango wa sirikale kunyonya wananchi
 
Swali ni moja tu Zanzibar lita ni 2980 wao wa nananua soko lipi wadanganyika hamuwezi kufika? Acha mpigwe tu mmefunikwa na kivuli cha kijani
Mafuta sio swala la muungano,kila Nchi ina sera tofauti,Bara kuna Kodi za miradi ya barabara,reli,Rea,Tarura nk kwenye mafuta.
 
Wewe sasa ndo unatuvuruga! Walinunua bei ikiwa juu, lini? Tangu bei imeanza kupanda hapa nchini, haijawahi kushuka hata baada ya kudanganya na ruzuku ambayo kimsingi inaliwa tu.

Tunajua kuwa soko la dunia, zaidi ya miezi 2 sasa bei imeshuka.

Sasa wewe utuambie, stock ya nchi ina last for how long na bulk ya mwisho ambayo ndio tunayotumia sasa ililetwa lini ili tuone kama kuna justification ya kupandisha bei kwa zaidi ya sh 340 kwa lita ndani ya miezi 2 tu.

Bei inayoongezeka kila mwezi inatokana na nini ukilinganisha na stock iliyopo? Hiyo bidhaa itakayouzwa mwezi wa 8 imeshaingia nchini? Iliagizwa lini? Kwa bei gani imeagizwa ili tuone kama kweli kuna haja ya ruzuku au ndo wanachukua ili kuwahonga kina Uwoya?

Au serikali yenu nayo haina transparency na hasa kwenye hali ngumu kama hii?
Sasa kwanini wasiache bei ile ile hamna hasara watakaoingia si kuna ruzuku
 
Back
Top Bottom