Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

nchi ya ajabu sana hii

halafu hizo pongezi zao wanajitahidi kuziweka kwa ukubwa lakini hazijafanikiwa kwa sababu hazina uhalisia ni kama watu wamelazimshwa kusema kwa kuyapamba yaliyofanyika kwa miaka 2 wakati ni wajibu wa serikali na hakuna la ajabu lililofanyika nje ya malengo

hakika inasikitiska sana kukaa na kupigiana mapambia wakati wannchi wako kwenye mateso ya hali ya juu ,gharama za maisha ziko juu bei za vyakula juu,umeme maji shida.
 
Acha uongo nenda sokoni leo uone bei ya maharage .
Iko chini ya Tshs 3000/=.
 
Njoo Chalinze kilo 4,200.
Mkuranga Pwani mpaka jana nilikua nafanya research madukani bei ya maharge njano ni around 4000/=.
Hii ni jana jioni.
Nilikua nazunguja kutafuta bei za mafuta na mahargae nikapita maduka almost 10.

Hii ni wilaya ya mkuranga mkoa wa pwNi kilwa road ..km 35 tuu toka mbagara dsm
 
Tatizo Hawa wanaume wa darisalama wanataka na wao wazuiwe sh 1800 mpaka 2000 kana kwamba wanalima?
 
Hapo ndipo tunapokwama watanzania!
 
Wewe hii bei yako ni ya aina gani ya maharagwe
 
Ila Kwa kweli waTanzania ni maPoyoyo yaani kila siku ni sifa Sifa tu.
Yaani kwenye vyombo vya habari hakuna jingine.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani wanaume wa Dar mnataka tulime maharagwe tuje kuwauzia sh 2000? Na nyie si mkalime mje kuuziana hiyo bei wajinga nyie[emoji23][emoji23]
Kwani dar kilimo Cha Maharage kinakubali?
Hoja ni Bei ya Maharage na sio kulima Maharage dar.
 
Mimi niko dar bei ni 4300 kilo
 
Maharage gani hayo. Hamia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…