Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo nenda sokoni leo uone bei ya maharage .Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Wapi?Hakuna bei flat Kwa nchi nzima.
Hapahapa Tanzania kuna sehem maharage ni Chini ya 2800 kg .
Mkuranga Pwani mpaka jana nilikua nafanya research madukani bei ya maharge njano ni around 4000/=.Njoo Chalinze kilo 4,200.
Mkuu maharage yameanza kushuka bei wiki hii ,maharage yameuzwa Kwa bei ya mleta hoja Wiki moja nyuma huku kwangu 3000-3500Acha uongo nenda sokoni leo uone bei ya maharage .
Iko chini ya Tshs 3000/=.
Tatizo Hawa wanaume wa darisalama wanataka na wao wazuiwe sh 1800 mpaka 2000 kana kwamba wanalima?Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Yaani wanaume wa Dar mnataka tulime maharagwe tuje kuwauzia sh 2000? Na nyie si mkalime mje kuuziana hiyo bei wajinga nyie[emoji23][emoji23]Dar, Pwani Bei gani?
Hapo ndipo tunapokwama watanzania!Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Wewe hii bei yako ni ya aina gani ya maharagweBei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Ila Kwa kweli waTanzania ni maPoyoyo yaani kila siku ni sifa Sifa tu.Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa [emoji1].
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Watanzania wamelogwa na Nyerere, then Mwingi, Mkapa, then Kikwete, Makufuli, na Samia under CCM from 1961. Bado, structure ya ukoloni ni ileile. Unategemea nini?
Kila kitu, Rais. Tunataka katiba ambayo tutamchagua mkuu wa wilaya, mkurugenzi, mwalimu mkuu, jaji mkuu, na viongozi wengine. Hatutaki mfumo ambao Rais anatuletea shoga kuwa mkuu wa wilaya. Hatutaki.
Kwani dar kilimo Cha Maharage kinakubali?Yaani wanaume wa Dar mnataka tulime maharagwe tuje kuwauzia sh 2000? Na nyie si mkalime mje kuuziana hiyo bei wajinga nyie[emoji23][emoji23]
Kwetu maharage 4,500 Michele 3,600 nipo Dar kwenu Bei ngani ?Hata kama hatuopendi serikali ya samia ni afadhali sana kutomzushia uongo ili tu ionekane hafai
Mimi niko dar bei ni 4300 kiloJamaa mbna nyie ni waongo HV Lina maharage yameuzwa Bei hyo ya elf 4200 mnampotosha Nani na kwa manufaha gani
Mm nimlagi wa maharage Bei ya juu sna nanunua kwa kg 3400 ya Chini San 3200 Niko ddm ,ilazo
Nilikuwa dar es salama Bei ilikuwa hvyo hvyo ya 3400 kwa kg SAS unavyosema Bei ni 4200 nawashangaa sna
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maharage gani hayo. Hamia hukoAma kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.