Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Bado Bei ya mafuta Iko juu sana nadhani ingeweza kushuka zaidi ya hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ituha mkuu....tunabubujikwa balaa 🥴Niko mtaani nimetizama kushoto na kulia sijaona mtu akilipuka kwa shangwe wala kububujikwa na machozi
Mitaa gani hiyo uliyopo Luka?? Isyesye, Ilomba, Iwambi, Itezi, Izumbwe au Igawilo?
Kuijua si mpaka awe nayo..!!Wewe akili yako unaijua wewe mwenyewe
Wewe ndiye huuziki hata kwa promosheni.Huyo Mama hauziki
🤣🤣🤣🤣🤣AiseeWewe ndiye huuziki hata kwa promosheni.
Kwani wewe huoni yameshuka? Kwanini unakuwa na roho ya wivu kiasi hicho.Ni kwamba unatania au hauelewi bei ya mafuta bado ni mtihani!?? Serious kabsa! Hata kama ni mapambio yamezidi sasa! Kwamba unampa hongera SAMIA kwa hili!
Ebu nenda uwaulize kwanza wadau wa usafirishaji upate picha za gharma ya mafuta inavyowaumiza.
🤣🤣🤣 Ila we jamaa wewe 🙌Kwani wewe huoni yameshuka? Kwanini unakuwa na roho ya wivu kiasi hicho.
Wivu utawaueni mwaka huu.maana najuwa habari kama hizi zinawaumiza sana mioyo yenu.Machawa wapelekwe kwenye parties za PDIDY
Wivu utawaueni mwaka huu.maana najuwa habari kama hizi zinawaumizaMachawa wapelekwe kwenye parties za PDIDY
Kwamba hujapenda kushuka kwa bei? Kwamba hujapenda watu kufurahia kushuka kwa bei? Kwamba wewe ulitaka yapande bei?Ww jamaa ni mpumbavu sana njaa sitakupeleka pabaya
Sema mafuta yameshuka bei kwenye soko la dunia, sio serikali ya Tanzania
Yameshuka kwa kiasi gani!? Je tozo ya serikali ni kiasi gani!? Je unafuu wa mtu kumudu kupata mafuta kwa bei rafiki upo kiasi gani?!Kwani wewe huoni yameshuka? Kwanini unakuwa na roho ya wivu kiasi hicho.
Haishuki haraka haraka kama jiwe.Bado Bei ya mafuta Iko juu sana nadhani ingeweza kushuka zaidi ya hapo
Acha wivu wewe.Sema mafuta yameshuka bei kwenye soko la dunia, sio serikali ya Tanzania